Shehe Khalifa jibu maswali haya

Shehe Khalifa jibu maswali haya

PHD inasaidia nn kama unaamini mcheza snema ndio mungu wako. Mfyuuuuuu! !!!!
The Satanic Verses (Aya za shetani)by Salman Rushdie....nasikia mzee Mwinyi alikipiga marufuku hiki kitabu..ila 'makafir"wametuletea internet tunakisoma tuu...
 
Haya mambo ya kukashifu watu kwa dini yao hayana maana , kuwa na PHD haina maana una manufaa hapa duniani. Mifani michache ni hii ifuatayo

hawa wasomi tunaambiwa kila siku wameifikisha wapi TZ ? wengi wao ni wapiga dili tu na hakuna matokeo wanaweza kuonyesha kuwa wamefanikisha si katika mashirika au wizara au wadhifa mwingine.

Angalia Zanzibar ambako wako hao wengi mnawakashifu kuwa hawakusoma - ni kitu gani mnachowazidi ? nadhani maisha ya wazanzibari yako juu ya wastani wa maisha TZ

Katika viongozi walio walio itoa Tanzania ICU kwenye miaka ya 80 wakati watu walikuwa kazi yao ni kupanga foleni tu kununua hata viberiti vibovu vya Kibo ni Ahmed Salim na Mwinyi - ndipo watu wakaanza kupumua na kushi kama binaadamu.

Kukashifu na kujifanya usomi hauna maana - onyesha matiokeo ya elimu yako ambayo yamenufaisha wananchi
 
Mwandishi wa huu uzi inaonekana dhahiri kuwa wewe una udini sana acha ujinga huo na acha kukumbatia upumbafu kama huo kwan unachochea ugomvi tu
 
Back
Top Bottom