Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,968
Endeleen kujitia wazmu huyu aliyepewa uwazir Wa elimu ndo alihucka ktk mpango ule Wa kufelisha watt Wa watu endeleen kumshukuru yule aliyejenga haka kamfumo kandamiz
Jibu maswali ya mleta Uzi, moja baada ya jingine! acha povu!
Ndugu naomba nikujibu baadhi ya maswali yako ulioyohisi yana maantiki sana katika kupinga ukweli wa sheikh KhalifaNapenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6. Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri:
Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
Mkuu sule mawazo kama yako nadhani yatazidi kuipotosha jamii ya kiislam.Asiyejua kua wakati wa ukoloni waislam walilazimishwa kubadili dini ili wasome ni nani!? Na je kila ambae hakupata western education hakusoma!? hivi elimu ni western system ambayo inaisolate waislam!? na mbna hata wakisoma hyo mnayoitaka kua ndo elim bado kunakua na ubaguz kwene hizo ajira? ila kama huelewi ngoja nikupe elimu ujue kua, ALIYESOMA QURAN JUZUU MOJA NA AKAIFANYIA KAZI NA UTAFITI NI SAWA NA ALIYE NA DGREE MOJA, HIVYO KWA ALIYESOMA JUZUU THELATHINI NA AKAAMUA KUZIFANYIA KAZI NA UTAFITI NI SAWA NA MTU MWENE DEGREE THELAYHINI, Kama unabisha na huamini mchukue sheikh ambae amebobea kwene maswala ya elim ya dini, alaf mchukue Prof ambaye naye amebobea kwene western education kisha taarisha maswali tatanishi yanayogusa nyanja mbalimbali alaf sikiliza majibu ya kila mmoja kupitia maswali yaleyale, utajua ni nani haswa anaelim zaidi ya mwenzake.
lakin sio kwamba sisi waislam hatuna elim kias ambacho hyo ratio iwe hvyo,jaman mmezid mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, unamuuza sheikh anadegree ngapi unataka degree zipi, kwani degree mpaka itokd UD, alaf acha mapadre wasome western education sababu ndo elimu yao ya kutungatunga tu, theory na lawa za hovyohvyo ambazo kila wakat zinakua updated, alaf wakat mwingne muwe mnaongea kwa logic, labda ungeleta ratio ya wasomi wa Tanzania wapo wangapi kwa kila ngaz ya elim, na Mh ameteua wangapi kwa kila ngazi kutoma pande fulan na fulan, ili tujue ukweli wa hizo porojo unazopuyanga nazo, kuna Mwl wang wa primary alikua ananikataza nisisome madrasa eti sababu ntafeli, nkamwambia siachi madrasa na siku nikiwa mtu wa pili humu darasan basi nipe adhabu, tumeonana juz nishagraduate na upper second yangu ya SAUT na dini yangu ipo palepale,....sipendi ujinga wa mijitu isiyo na dini kuingilia maagizo ya muumba, ni mtu gani ambaye hajui hata misingi ya dini yake, eti kisa atafeli, aliyewaambia duniani kuna kufeli nani, endeleeni kufanya mnavotaka nchi yenu hii sie wapita njia tu makax yetu hukoooo...
Mbingunikwetu,Napenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6. Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri:
Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
Mi nshasoma mpk hzo degree zenu na bado ukiingia kwene hzo ofice zenu kisa unakanzu na unaalama kwene paji la uso basi unaonekana kama umeenda kuilipua ofisi, wasome tu wanaotaka lakin ukweli utabaki palepale tu, waislam wanalalamika na lisemwalo lipo, ukiambiwa mwanao ashaanza kufanya mapenz na ukawa mkali bila kuchukua hatua, basi subiri akikuketea mimba au ukimwi ndo utaamini, lakin hyo kampeni yenu ya kuwakataza watoto wasisome dini yao eti sababu watakua sio wasomi, sioni faida yake kwani hata hao waliosoma bado wanaishi kama mashetan isipokua wachache tu, cha msing waislam ni kuzid kuwekeza kwene vyuo vya kiislam na kuongeza seminary ambazo zitakua ni chimbuko la wasomi wanaotakiwa na mtoa mada, bila kuathiri dini yetuMkuu sule mawazo kama yako nadhani yatazidi kuipotosha jamii ya kiislam.
huwezi kulinganisha elimu dunia kwamba ni sawasawa na elimu ya dini....mfumo unaokubalika wa kuajiriwa duniani (ukiacha nchi zinazoongozwa kidini kama Iran na Saudi Arabia) ni mfumo wa elimu dunia.
Huwezi kuchukua cheti ulichohitimu mafunzo ya dini yoyote kwenda kuombea nafasi say uhasibu....hata kama miaka ya kuhitimu inafanana.
Solution hapa ni kusoma vyote elimu dunia na dini jambo ambalo nadhani ni gumu kiutekelezaji kwa upande wa ndugu zetu waislam hasa kwa sababu ya lugha ya kiarabu inayotumika ila wachache sana wanamudu.
Ugumu huu tunaushuhudia pia huku kwenye elimu ya msingi kwa wazazi waislam wanaowata watoto wao kusoma madrasa baaya ya kutoka shule (elimu dunia).
Mtume si aliwafundisha njia ya kuona Pepo ni kujitoa mhanga na ntajitoa sana hadi muishe piii na mioto iwachomeeee mshenzi nyieEti kiboko yetu Trump...who is Trump by the way?
Kiboko yetu sisi ni mmoja tuh...nae ni yule muumb wa mbingu na ardhi...hakuna kiboko yetu mwingine
Wamepita kina hitler,musolin,pharao na weengi wenye jeuri katika ulimwengu huu wako wapi hiv sasa wamegeuka vumbi na wanakula kisago tuh huko waliko?
Then uje wewe utuambie sisi waislm kiboko yetu trump?are you out of your mind?...
Trump sisi atutishe kwa lipi...amezaliwa atakufa kama tutavyokufa sisi sasa tumuogope kwa lipi ili hali yeye ni dhaifu kaja dunian hana kitu na ataondoka dunian hapa bila kitu?
Hivi unatujua vizur sisi waislam au unatuskia?
Sisi hatuogopi kitu...zaid ya Allah sisi hatuna tunachoogopa...sisi siyo watu wa mchezo mchezo
umeuliza swali la kiijinga na l kipumbavu lakini mimi nakujibu kama ifuatavyoNapenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6. Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri:
Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
Zenji ni nchi na ina katiba yake, ima bendera yake, ina rais wake, inabunge lake, japo tumeikoloni na walaambo yao hayakuhusu....Katika Mkutano wa Berlin nchi zote zilizopewa makolon zilipewa sharti la kuuwa uislam na kujenga makanisa na kusambaza elim ya kishetani, elimu ya kuwafundisha watu kukaa uchi, uasherati, tusioe ila tuwe na magirl friend kama hv sasa, tusisome dini maana tutakufa maskin na hatutaendelea,na baada ya hapo ndo wakayafanya kweli na ndo chanzo cha huu mjadala, mimi sishangai sana kwa haya yanayolalamikiwa ila nawashangaa wanaobeza waislam kua hawakusoma wakati waliwakataza kusoma...Mama angu alisoma sababu alikubali kuitwa ELIZERBET SALUM MOHAMMED, Babu alisoma sababi alikubali kuitwa Banabas Ally, ila baadhi ya watu walifukuzwa shule sababu walikataa kuitwa Petro na wakataka waitwe Abdullah....haina shida endesheni nchi sasa mlete maendeleo, simmesoma sana mbna hali hivi,kazi kulalamika tuBobo balde unaongea kana kwamba kwenye nafasi za utawala na uongozi wa nchi waislam hakuna kabisa! Mbona huo siyo ukweli! Kati ya nafasi tatu za juu kabisa za nchi hii, mbili zimeshikwa na waislamu japo hawakupewa kwa mujibu wa dini zao. Makamu wa rais na waziri mkuu ni waislamu.
Huko Zanzibar Rais na baraza lote la mawaziri na baraza la wawakilishi ni waislam! Na hiyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano waTanzania! Sasa unapolalamika kuwa waislam hawajapewa nafasi huo ni uongo! Hivi ikitokea huku bara baraza lote wakawa wakristo kama ilivyo Kyle visiwani baraza lote ni waislamu mtasemaje?
Sisi hatujawahi kulalamika kuwa huko Zanzibar wakristo wanatengwa wala hatuna mpango wa kulalamika! Tunaamini kuwa japo wote ni waislam lakini hawajapata nafasi hizo kwa mujibu wa dini zao! Tunawashangaa nyie mnalialia tu bila sababu za msingi!
Umeandika maneno meengi lakni ni upuuzi mtupu hilo unaliona ss hivi na huo mfumo kristo toka enzi za baba yenu wa taifa kabla ya kuja na jambo hili anagalia kwanza toka uhuru viongozi wa baraza la mitihan walikua dini gani ndio urudi hapa hayo ma phd ya kutafutiwa tu na usijidanganye ww ongelea kizazi cha sasa waislm sio wajinga tena ila nafas hawapewi utajuaje elimu zao endelezeni tu huo mfumo kristo wenu ipo siku watu tutachoka
Mtume si aliwafundisha njia ya kuona Pepo ni kujitoa mhanga na ntajitoa sana hadi muishe piii na mioto iwachomeeee mshenzi nyie