Shehe Khalifa jibu maswali haya

M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
6,175
Points
2,000
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
6,175 2,000
Napenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:

1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD

2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?

3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?

3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?

4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?

5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!

6. Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.

Ushauri:

Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!

Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!

Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
 
karume kenge

karume kenge

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
573
Points
500
Age
49
karume kenge

karume kenge

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
573 500
Umeandika maneno meengi lakni ni upuuzi mtupu hilo unaliona ss hivi na huo mfumo kristo toka enzi za baba yenu wa taifa kabla ya kuja na jambo hili anagalia kwanza toka uhuru viongozi wa baraza la mitihan walikua dini gani ndio urudi hapa hayo ma phd ya kutafutiwa tu na usijidanganye ww ongelea kizazi cha sasa waislm sio wajinga tena ila nafas hawapewi utajuaje elimu zao endelezeni tu huo mfumo kristo wenu ipo siku watu tutachoka
 
A

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
4,801
Points
2,000
A

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
4,801 2,000
Naona ktk uteuzi wa mkuu wa chuo kikuu hausishwe aone majina yake yapo mangapi
 
S

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,394
Points
2,000
S

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,394 2,000
Umegonga penyewe basi hawa jamaa wajibu maswali hayo. Vinginevyo wakae kimya na wawahamasishe watoto kusoma elimu dunia!Tutazidi kuwakumbusha kuwa Takwimu sahihi za idadi ya WAKRISTO na WAISLAM Tanzania ni:

1.WAKRISTO 61.4%
Waliojenga TAASISI nyingi zikiwemo za KIELIMU nk. Ambazo tukianza kuziorodhesha hapa zitajaza kurasa nyingi.
Hizi za kielemu zikiwemo shule vyuo nk ndo zilisaidia Wakristo wengi kusoma hata waislamu wengi kusomea huko wengine sasa ni ma Profesa courtesy ya Taasisi za KIKIRISTO.

2. WAISLAM 35.2% Waliofanikisha kujenga MADRASSA karibu kila misikiti yao ili kufunza watoto wao dini sawasawa. Na kudharau ELIMU DUNIA kuwa ni UPUUZI!
Sasa miaka imeenda KUMEKUCHA, WAKRISTO wengi wamesoma na inakuwa ni VIGUMU kushindana nao katika JOB MARKET/Soko la Ajira maana ni wengi!

Wakati PADRI ,ASKOFU, MCHUNGAJI anaweza kufundisha masomo mengi katika vyuo vikuu vinavyotambuliwa vikiwemo vya kiserikali.Maana wamesoma ikiwemo:
Sosiolojia
Filosofia
Anthropojia
Saikolojia
Hisabati
Historia na Elimu kwa ujumla nk.

Sasa? Mashehe na Maalimu watafundisha nini na WAPI?
ikiwa elimu yao ni KUKARIRI Kurani kichwani na maagizo ya dini zao ambayo hayana SOKO katika ushindani wa AJIRA katika KIELIMU dunia?
Huu ni ukweli MCHUNGU lakini ndivyo ilivyo!
 
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
6,175
Points
2,000
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
6,175 2,000
Umeandika maneno meengi lakni ni upuuzi mtupu hilo unaliona ss hivi na huo mfumo kristo toka enzi za baba yenu wa taifa kabla ya kuja na jambo hili anagalia kwanza toka uhuru viongozi wa baraza la mitihan walikua dini gani ndio urudi hapa hayo ma phd ya kutafutiwa tu na usijidanganye ww ongelea kizazi cha sasa waislm sio wajinga tena ila nafas hawapewi utajuaje elimu zao endelezeni tu huo mfumo kristo wenu ipo siku watu tutachoka
Acha povu jibu maswali! Baraza LA mitihani siyo LA dini yoyote ni LA Taifa: Baraza LA mitihani LA TAIFA! Linasimamia tu! mitihani wanatunga waalimu, mitihani wanasahihisha waalimu, na kwenye taarifa za mtahiniwa kipengele cha dini hakipo, na majina hayaandikwi kwenye karatasi za mitihani. Ni namba tu hutumika!
Labda nisaidie, wewe karume kenge umesoma mpaka wapi?
Umesema niongelee kizazi cha sasa, si ndicho nilichoongea? Nauliza mashehe wa sasa wakiambiwa kuna nafasi ya uwaziri lakini angalau uwe na masters je wangapi wangepenya?
 
Shekhe Khalifa apewe taarifa na wenye contact zake aje hapa ajibu maswali Haya, vinginevyo anyamaze kimya na aache kutoa maneno yenye mwelekeo wa kuamsha hisia hasi kwenye jamii! Bali ajikite kuhamasisha jamii yake kujikita kwenye elimu ili vizazi vyake vijavyo visiwe vya kulia lia vikiomba huruma ya upendeleo kwa watawala kama anavyofanya yeye!
 
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
6,175
Points
2,000
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
6,175 2,000
Kanda 2 karibu hapa!
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,457
Points
2,000
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,457 2,000
ngoja waje
Mohamed Said,mzee mwenye historia na takwimu,
 
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Messages
4,391
Points
2,000
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2014
4,391 2,000
Napenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6.Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri: Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
Kipindi cha JK wale waislam aliowateua mpaka mkamsema mdini aliwatoa Kenya? Na kama Tanzania je elimu zao hazikupaswa kuteuliwa hizo nafasi namaanisha hawakuwa na sifa?
Tukubali tukatae udini upo na tulifanyie kazi hili waislamu wapo wengi tu wenye sifa ila ni wivu tu na roho mbaya yako mtoa mada.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,504
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,504 2,000
Mods Fanyeni Check And Balance
Hii Haijakaa Vema Kuifuta ItaletA Kelele Sana
Idumbukizeni Jukwaa La Dini Tu Mtakuwa Mmemaliza Kazi Yote.

Itakosa Views Wasio Na Access
 
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
6,175
Points
2,000
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
6,175 2,000
Siyo lazima mzazi awe na digrii ili amsomeshe mwanawe mpaka apate digrii, hoja ya mleta mada haina mashiko.
Jibu maswali ya mleta Uzi, moja baada ya jingine! acha povu!
 
aymatu

aymatu

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Messages
1,872
Points
2,000
aymatu

aymatu

JF-Expert Member
Joined May 23, 2014
1,872 2,000
Napenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6.Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri: Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!
Inaonekana huna hekma ustarajie kupata jibu mtume askofu wako akamuulize maana umeshindwa kwenda kumuliza sheikh unatuletea Uzi jamiiforum kama uyo sheikh yupo umu
 
K

Kizibao

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Messages
945
Points
500
K

Kizibao

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2010
945 500

Sijapato kuona post ya kipuuzi kama hii
 
Mechanist

Mechanist

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Messages
728
Points
500
Mechanist

Mechanist

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2015
728 500
Umeandika maneno meengi lakni ni upuuzi mtupu hilo unaliona ss hivi na huo mfumo kristo toka enzi za baba yenu wa taifa kabla ya kuja na jambo hili anagalia kwanza toka uhuru viongozi wa baraza la mitihan walikua dini gani ndio urudi hapa hayo ma phd ya kutafutiwa tu na usijidanganye ww ongelea kizazi cha sasa waislm sio wajinga tena ila nafas hawapewi utajuaje elimu zao endelezeni tu huo mfumo kristo wenu ipo siku watu tutachoka
Wewe ulitaka mfumo upi labda?
 
Mzee wa Masauti

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
2,180
Points
2,000
Mzee wa Masauti

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
2,180 2,000
Umegonga penyewe basi hawa jamaa wajibu maswali hayo. Vinginevyo wakae kimya na wawahamasishe watoto kusoma elimu dunia!Tutazidi kuwakumbusha kuwa Takwimu sahihi za idadi ya WAKRISTO na WAISLAM Tanzania ni:

1.WAKRISTO 61.4%
Waliojenga TAASISI nyingi zikiwemo za KIELIMU nk. Ambazo tukianza kuziorodhesha hapa zitajaza kurasa nyingi.
Hizi za kielemu zikiwemo shule vyuo nk ndo zilisaidia Wakristo wengi kusoma hata waislamu wengi kusomea huko wengine sasa ni ma Profesa courtsey ya Taasisi za KIKIRISTO.

2. WAISLAM 35.2% Waliofanikisha kujenga MADRASSA karibu kila misikiti yao ili kufunza watoto wao dini sawasawa. Na kudharau ELIMU DUNIA kuwa ni UPUUZI!
Sasa miaka imeenda KUMEKUCHA, WAKRISTO wengi wamesoma na inakuwa ni VIGUMU kushindana nao katika JOB MARKET/Soko la Ajira maana ni wengi!

Wakati PADRI ,ASKOFU, MCHUNGAJI anaweza kufundisha masomo mengi katika vyuo vikuu vinavyotambuliwa vikiwemo vya kiserikali.Maana wamesoma ikiwemo:
Sosiolojia
Filosofia
Anthropojia
Saikolojia
Hisabati
Historia na Elimu kwa ujumla nk.

Sasa? Mashehe na Maalimu watafundisha nini na WAPI?
ikiwa elimu yao ni KUKARIRI Kurani kichwani na maagizo ya dini zao ambayo hayana SOKO katika ushindani wa AJIRA katika KIELIMU dunia?
Huu ni ukweli MCHUNGU lakini ndivyo ilivyo!
Nijibu maswali yangu yafuatayo

- hizo takwimu umezitoa wapi???

- nani kafanya hiyo tafiti ???

- ni kipindi/wakati/mwaka gani huo utafiti ulifanyika???

- Idadi ya waislamu wenye SIFA na VIGEZO walioomba scholarship za masuala ya Oil na Gas walikua zaidi ya 150. Je ni kwanini hakuna hata mmoja aliepata huo ufadhili????? Wote waliochaguliwa ni wakiristo. Kunani???

Nasubiri mapovu yako
 
Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,732
Top