inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,944
- 18,210
hyo ndiyo elimu aliyoipata seminari,kwenye elimu boraSiyo lazima mzazi awe na digrii ili amsomeshe mwanawe mpaka apate digrii, hoja ya mleta mada haina mashiko.
hyo ndiyo elimu aliyoipata seminari,kwenye elimu boraSiyo lazima mzazi awe na digrii ili amsomeshe mwanawe mpaka apate digrii, hoja ya mleta mada haina mashiko.
The big show alolalamikia serikali hii si shekhe wenu?mjiuwe wenyewe maana si ndo tabia zenu maana nchi zote za mafirauni wanauana wenyewe kiboko yenu trump tu
Jibu maswali ya mleta Uzi moja baada ya jingine maana yako wazi, acha kutoa povu!Thats where you are wrong..!
There is no one who is blaming
Mnaambiwa ukweli kisha mnasema watu wanalalamika?
Kwani ni uongo kuwa jamaa yeny Juma Poor Manager anapendelea wakristo katika teuzi zake?
Ni uongo?
Kipindi kikwete yuko madarakan wagalatia wenye roho mbaya kama ya mbwa mwitu ni nyinyi mlikuwa kila siku mnakesha kumwita kikwete ni mdini na kapendelea waislam kwenye madaraka yake pamoja na kwamba aliwapa nafas kubwa nyinyi...lakin kila siku hamkuchoka kumwandama na kumshambulia
Ile mliyokawa mnafanya siyo kulalamika?
Kwahiyo kusema mseme nyinyi ila wakisema waislam wanalalamika siyo?
Watu wa hovyo sana...na matter of fact nyinyi hamna usomi wowote...you are better in nothing rather than wizi na ufisadi tuh
Hopless
Nikuulize swali wakat unafanya mtihani hakuna jina na no yako ya mtihanAcha povu jibu maswali! Baraza LA mitihani siyo LA dini yoyote ni LA Taifa: Baraza LA mitihani LA TAIFA! Linasimamia tu! mitihani wanatunga waalimu, mitihani wanasahihisha waalimu, na kwenye taarifa za mtahiniwa kipengele cha dini hakipo, na majina hayaandikwi kwenye karatasi za mitihani. Ni namba tu hutumika!
Labda nisaidie, wewe karume kenge umesoma mpaka wapi?
Umesema niongelee kizazi cha sasa, si ndicho nilichoongea? Nauliza mashehe wa sasa wakiambiwa kuna nafasi ya uwaziri lakini angalau uwe na masters je wangapi wangepenya?
Itolewe orodha ya waliokamatwa na vyeti feki ndio tutajua pia ni nani wanaongoza kwa kutokuwa na elimu halali. Upande mmoja unaweza kuwa na shule nyingi kila kona lakini pia bado wanachapisha vyeti fafa kwa wingi. Tukubali tu nchi yetu wote na tuache kubaniana fursa.
1. Hili nalo kweli ni swali? Nikwaya au ngonjera? Hivyo mtu mwenye PhD ya"theology" hua anaitwa msomi,shahada shirki za kupeana kwenye makanisa!.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2.Hii ni ngonjera nyengine; unasema viongozi wa dini wasiokuwa na elimu,unajaribu kusema nini hapa? Ujuzi wa dini si elimu.Hivyo una maanisha kuwa hataMapdri,Maaskofu na watawa wote ni mijuha vilevile!2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Kwa swali hili linawafaa zaidi CCM ambao hata kwenye Katiba pendekezwa imeeleza hitaji la kuwa kiongozi wa nchi,nalo tu ni kujua kuandika na kusoma kiswahili.Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
4.Kakueleza nani hivi uko kaburini au kwenye kizimba cha kuuungama? Tokea mbinu zenu chafu za kuoneshana mitihani kwenye makanisa kutumbuliwa, matokeo ni tofauti.Huwezi sasa shule hizo kuweza kulinganisha na shule ya FEZA. Jipu liliobaki ni nafasi za juu kwenye Wizara ya elimu kushikwa na watu wa aina hiyo. Nikukumbushe wakati wa Awamu ya Mzee Mwinyi alipowateua watendaji wakuu wa Wizara hiyo waislamu,na kuhitajika kuteua mtu mwengine kutoka Zanzibar kwa vile elimu ya juu ni ya Muungano,hivyo nae pia alikuwa mwislamu. Nchi ilitikisika kwa Makanisa kulalamika, magazeti kupalilia kuwa uteuzi ulikuwa ni wa kidini.Kumbe Rais alijaribu kuziba mianya ya upendeleo na dhulma yaliokuwa yanafanywa na Kanisa.Leo imekuewa nongwa kwa Sheikh Khalifa kukekemea yaleyale yaliofanywa na makanisa,Mapadre na Maaskofu? Hivi umesahau hata Mtikila akikosoa kila uteuzi wa mwislamu aliokuwa anaufanya Rais Kikwete akauwita una udini? Mkuki kwa nguruwe?.Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
Samahani hivi Askofu Gwijima, Askofu Kakobe na Mzee wa Upaku, wachache kati ya wengi,wamesoma mpaka wapi vile?Kama wao wamesoma kwa nini hawakuhamasisha badala ya kuwakumbatia wenzao wasiwe mazombie yenye kuhemkwa ya kudanganywa na kugeuzwa ATM ya kuwatajirisha wao?Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Usiokijua ni usiku wa kiza,lakini wako unaonekana ni wa jahanam. Kwa karne hii hakuna sheikh/Imam ambae anasalisha misikiti inayosaliwa I'jumaa ambae hana shahada ya chuo kikuu. Nikukumbushe tu kuwa chuo kikuu cha kwanza cha dini Barani Afrika ni chuo cha Al-Azhar Egypt na kilikuwa kinatoa Shahada za dini ya kiislamu, na moja ya vitabu viliokuwa vinatumika chuoni hapo kimandikwa na Marhum Sheikh Hassan bin Ameir(1880-1979)Mzanzibari na Mufti wa kwanza wa Tanganyikaapo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
1. Hili nalo kweli ni swali? Nikwaya au ngonjera? Hivyo mtu mwenye PhD ya"theology" hua anaitwa msomi,shahada shirki za kupeana kwenye makanisa!
2.Hii ni ngonjera nyengine; unasema viongozi wa dini wasiokuwa na elimu,unajaribu kusema nini hapa? Ujuzi wa dini si elimu.Hivyo una maanisha kuwa hataMapdri,Maaskofu na watawa wote ni mijuha vilevile!
3. Kwa swali hili linawafaa zaidi CCM ambao hata kwenye Katiba pendekezwa imeeleza hitaji la kuwa kiongozi wa nchi,nalo tu ni kujua kuandika na kusoma kiswahili.
4.Kakueleza nani hivi uko kaburini au kwenye kizimba cha kuuungama? Tokea mbinu zenu chafu za kuoneshana mitihani kwenye makanisa kutumbuliwa, matokeo ni tofauti.Huwezi sasa shule hizo kuweza kulinganisha na shule ya FEZA. Jipu liliobaki ni nafasi za juu kwenye Wizara ya elimu kushikwa na watu wa aina hiyo. Nikukumbushe wakati wa Awamu ya Mzee Mwinyi alipowateua watendaji wakuu wa Wizara hiyo waislamu,na kuhitajika kuteua mtu mwengine kutoka Zanzibar kwa vile elimu ya juu ni ya Muungano,hivyo nae pia alikuwa mwislamu. Nchi ilitikisika kwa Makanisa kulalamika, magazeti kupalilia kuwa uteuzi ulikuwa ni wa kidini.Kumbe Rais alijaribu kuziba mianya ya upendeleo na dhulma yaliokuwa yanafanywa na Kanisa.Leo imekuewa nongwa kwa Sheikh Khalifa kukekemea yaleyale yaliofanywa na makanisa,Mapadre na Maaskofu? Hivi umesahau hata Mtikila akikosoa kila uteuzi wa mwislamu aliokuwa anaufanya Rais Kikwete akauwita una udini? Mkuki kwa nguruwe?.
Samahani hivi Askofu Gwijima, Askofu Kakobe na Mzee wa Upaku, wachache kati ya wengi,wamesoma mpaka wapi vile?Kama wao wamesoma kwa nini hawakuhamasisha badala ya kuwakumbatia wenzao wasiwe mazombie yenye kuhemkwa ya kudanganywa na kugeuzwa ATM ya kuwatajirisha wao?
Usiokijua ni usiku wa kiza,lakini wako unaonekana ni wa jahanam. Kwa karne hii hakuna sheikh/Imam ambae anasalisha misikiti inayosaliwa I'jumaa ambae hana shahada ya chuo kikuu. Nikukumbushe tu kuwa chuo kikuu cha kwanza cha dini Barani Afrika ni chuo cha Al-Azhar Egypt na kilikuwa kinatoa Shahada za dini ya kiislamu, na moja ya vitabu viliokuwa vinatumika chuoni hapo kimandikwa na Marhum Sheikh Hassan bin Ameir(1880-1979)Mzanzibari na Mufti wa kwanza wa Tanganyika
Tatizo lako udini unawasumbua ndio maana nchi inaenda mrama hiiNapenda kumwomba shehe Khalifa ajibu maswali haya:
1.Mashehe na maimamu wangapi wana PhD? Pia Maaskofu, mapadri na wachungaji wangapi wana PhD
2. Je unategemea viongozi wa dini wasio na elimu wataweza kuhamasisha waumini wao kusoma?
3. Viongozi wa sampuli IPI wanatazamiwa kuwa walalamishi? Ni wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya chini au wale ambao kwa wastani elimu yao ni ya juu?
3. Kwa wastani kati ya shule zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kiislamu na zile zinazomilikiwa na mashirika/dini ya kikristo ni zipi zinafanya vizuri kitaaluma?
4. Hivi kama shule za waislamu ambazo wanaosoma huko wengi ni waislamu hazifanyi vizuri kulinganisha na za wakristo ambazo wanafunzi wake wengi ni wakristo (wale wengine wanaogopa kusoma na makafri), unategemea muujiza UPI wale wasiofanya vizuri wawe wengi vyuoni? Ukifahamu kuwa dini siyo kigezo kwenye mchakato wa udahili vyuoni?
5. Hivi kuna Madrasa ngapi na kuna shule za sekondari ngapi wanazomiliki waislamu!
6. Samahani, hivi she he Khalifa na shekhe Ponda mmesoma mpaka wapi vile? Kama nyie mmesoma kwa nini hamkuhamasisha na wenzenu wasome? Kama nyie hamjasoma kwa kiwango cha juu mnategemea wenzenu wangesomaje?
Mwisho naomba wadau tuanike hapa matokeo ya kidato cha NNE ya shule za waislamu kama vile kinondoni Muslim na zile za wakristo kama vile Loyola. Hii itasaidia jamii kuona kuwa ni ufaulu wala siyo dini au upendeleo uliopelekea tofauti za kielimu miongoni mwa dini mbalimbali.
Ushauri:
Japo hawa ndugu zetu wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha, nawashauri wahamasishane kusoma, na waweke kigezo cha angalau shahada ya kwanza ili MTU awe shehe! Waige mazuri ya wenzao! Huwezi kukuta Padri asiye na elimu lakini kwa wenzetu ni aibu hata kusema! Ndio maana ni wataalamu wa kulalamika na kudai nafasi za upendeleo!
Haiingii akilini jamii mbili zenye tofauti kubwa kielimu zitegemewe kuwa na nafasi sawa kwenye jamii. Hivi kama Leo Rais akiamua kuteua viongozi wa dini mbalimbali kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi lakini kwa kigezo cha kuwa na angalau Masters digrii, hivi ni mashehe wangapi wangepenya? Kwa wakristo maaskofu wengi wana PhD acha mbali na masters na bachelors za kumwaga! Hapo Shehe Khalifa angesema Rais ametutenga!
Hivi watoto wa shehe huyu anayewafahamu wamesoma mpaka wapi? Unaweza kukuta MTU analalamika kumbe hata watoto wake mwenyewe hajawapa fursa ya kusoma mpaka ngazi za juu!