Shehe Khalifa jibu maswali haya

Suala lililopo kwenye uzi siyo udini bali ni kujaribu kuionyesha jamii kuwa tofauti anazojaribu kuzionyesha shekhe Khalifa hazijatokana na udini bali ni matokeo yasiyoepukika yaliyotokana na tofauti ya mwamko wa kielimu kati ya jamii za dini tofauti hapa nchini. Lawama au sifa ziwaendee viongozi wahusika kwenye jamii hizi. Dhana ya upendeleo inayotaka kupandikizwa ni potofu na hatari sana!
Mods uacheni uzi huu hapa maana wadau walengwa ni wale walioiona post ya kanda2 waliopo hapa! Hii imelenga kuleta balance na si vinginevyo!
Walalamikaji na waomba huruma Nina uhakika hapa watapita tu kimya kumya! na hakuna mwenye ubavu wa kutoa majibu, maana majibu yatafanya malalamiko kuwa hayana mashiko! Ni hilo tu!
 
Sana sana wataishia kutukana tu, lakini hawawezi kutoa majibu kwa maswali ya mleta Uzi. Maana majibu kwa maswali haya yataonyesha malalamiko hayana msingi!
 
Hili suala liko wazi sana taasisi za elimu zenye mlengo wa kikristo kwa maana ya shule za msingi sekondari vyuo vya kati na hata vyuo vikuu vyaweza kua mara kumi zaidi ya waisilam,ktk mazingira hayo ndio maana ktk mitihani sio ajabu kuona ktk 20 bora kuna waisilam 3 au 4 kila mwaka unawezaje kuwasawazisha kwenye ajira wakati kwenye elimu kuna tofauti kiivyo!?
 
Hoja ya mleta mada haina mashiko kwa sababu: Teuzi zilizokwishafanyika mpaka hivi sasa hazizidi watu 1000, Je katika pool yote ya wasomi wa nchi hii hakuna hata Waislamu 500 wenye vigezo kushika nafasi mbalimbali za uteuzi ili hizo teuzi zionekane zina sura pana ya kitaifa? Hilo ndilo swali la msingi la Sheikh Khalifa. Naona mnarukaruka tu mnakwepa hoja ya msingi!
 
Usisahau mtoa Mada yako Kabla uhuru nani walikuwa wasomi wengi na taasisi kubwa za Elimu ziliruka zinamilikiwa na nani Jibu unalo ndio maana likaja Azini.LA Arusha kutaifisha mashule yote yaliomilikiwa na waislaam kama hujui historia kaa Pembeni
 
Nijibu maswali yangu yafuatayo

- hizo takwimu umezitoa wapi???

- nani kafanya hiyo tafiti ???

- ni kipindi/wakati/mwaka gani huo utafiti ulifanyika???

- Idadi ya waislamu wenye SIFA na VIGEZO walioomba scholarship za masuala ya Oil na Gas walikua zaidi ya 150. Je ni kwanini hakuna hata mmoja aliepata huo ufadhili????? Wote waliochaguliwa ni wakiristo. Kunani???

Nasubiri mapovu yako
Kama wewe ni msomi na unaufahamu na mambo mbali mbali, hizo ni takwimu zilizochukuliwa kimataifa na vyombo husika vya kitaalamu na Kisayansi! Na huo ndo ukweli na UZURI wa ELIMU DUNIA!!
 
Hawa jamaa zetu bure kabisa kwenye kitabu chao wameambiwa ELIMU YA KIMAGHARIBI NI HARAMU wasiifuate sasa wanamlalamikia nani?
Angalia kikundi chao kule Nigeria cha BOKO HARAMU(elimu ya magharibu ni haramu) wanapigania kuikataa elimu ya kawaida ili wasome elimu ya dini yao tu.

Kama dini yao inakataza kuchangamana na watu wasiokuwa wa dini yao hapo unategemea nini? Labda shetani peke yake

Utakuta watoto wao jioni wanafundishwa elimu yao ikifika kwenye masomo ya shuleni wanashindwa hata kuandika majina yao hii ni aibu,wataendelea kulalamika hadi mwisho wa dunia

Sent from mTalk
 
Ni heri kuwa na sheikh ngumbalu kuliko kuwa na askofu mwenye PHD kisha anatumia kanisa kufilisi na kuliibia taifa kupitia Escrow account kama Askofu malasusa

Inashangaza unazungumzia waislm kutopeleka shule watoto eti kwa zama hizi hiv unazungumzia waislam wa wapi hasa?

Unyonge wa kusema waislam hawapeleki watoto shule umeshatutoka zama nyiiingi...na hata ukweli huo kwa sasa mnaujua sema basi tuh mnatafuta gia ya kukwepa hoja za msingi kama za sheikh khalifa

Wagalatia Roho mbaya sana...

Nchi hii utadhan kanisa lina hati miliki hususan huko serikalin...kutwa kucha kuwananga waislam hawana shule...ajabu ikitokea zikaonenaka barakashia na hijaabu huko maofisin basi chuuki tuh juu yao mnawaandama

Mkitakaje kwani nchi hii muwe pekeyenu?

Basi mtuuuwe kama jamaa zenu wanavyowaua Rohingya Muslims huko Myanmar na huku dunia ikishuhudia
 
Umeandika maneno meengi lakni ni upuuzi mtupu hilo unaliona ss hivi na huo mfumo kristo toka enzi za baba yenu wa taifa kabla ya kuja na jambo hili anagalia kwanza toka uhuru viongozi wa baraza la mitihan walikua dini gani ndio urudi hapa hayo ma phd ya kutafutiwa tu na usijidanganye ww ongelea kizazi cha sasa waislm sio wajinga tena ila nafas hawapewi utajuaje elimu zao endelezeni tu huo mfumo kristo wenu ipo siku watu tutachoka
Heee na sisi tusio na dini tukichoka itakuwaje ?
 
Ni heri kuwa na sheikh ngumbalu kuliko kuwa na askofu mwenye PHD kisha anatumia kanisa kufilisi na kuliibia taifa kupitia Escrow account kama Askofu malasusa

Inashangaza unazungumzia waislm kutopeleka shule watoto eti kwa zama hizi hiv unazungumzia waislam wa wapi hasa?

Unyonge wa kusema waislam hawapeleki watoto shule umeshatutoka zama nyiiingi...na hata ukweli huo kwa sasa mnaujua sema basi tuh mnatafuta gia ya kukwepa hoja za msingi kama za sheikh khalifa

Wagalatia Roho mbaya sana...

Nchi hii utadhan kanisa lina hati miliki hususan huko serikalin...kutwa kucha kuwananga waislam hawana shule...ajabu ikitokea zikaonenaka barakashia na hijaabu huko maofisin basi chuuki tuh juu yao mnawaandama

Mkitakaje kwani nchi hii muwe pekeyenu?

Basi mtuuuwe kama jamaa zenu wanavyowaua Rohingya Muslims huko Myanmar na huku dunia ikishuhudia
The big show alolalamikia serikali hii si shekhe wenu?mjiuwe wenyewe maana si ndo tabia zenu maana nchi zote za mafirauni wanauana wenyewe kiboko yenu trump tu
 
Well

This is another nonsense and stupid comment from galatia anaewakilisha millions of galacticos wasiojitambua...

You are talking about bokoharam as if you know whats going on and as if you know uislam unawazungumziaje watu kama hao

And dont you dare to insult islam na kuufananisha na uozo kama unavyodhani

One among fundamental pillar and obligation ya muislam ni elimu

Aya ya kwanza kabisa kupewa Kipenz chetu na Mtume wetu Muhammd may peace be upon him ni elimu

Na Elimu hiyo haina separation eti kwamba mtu asome elimu hii na aache elimu hiii

Ni Obligation ya muislam kusoma elimu zoote Basic ya kumtambua mola wake na kutambua why was he or she created here on the earth's surface pia asome elimu ya kuutambua ulimwengu ili aweze kuitawala na kuiendeleza.

So what are you talking about?

Unakuja kugeneralize kuhusu uozo wa boko haram na uislam vip kuhusu uozo wa Kundi la kigaidi kama Lord Resistance Army Uganda na Joseph Kony walioko msituni miaka miingi wakipigana kutaka kusimamisha amri kumi za yesu huku wakitumia watoto wadogo kama wanajesh huku wakibaka kina mama na watoto kwa njia ya msalaba vip mbona huzungumziii watu kama hao kwa kuwanasibisha na ukristo?

Unaongea vitu huvijui na huvielew then unajifa ya unajielewa.
Hawa jamaa zetu bure kabisa kwenye kitabu chao wameambiwa ELIMU YA KIMAGHARIBI NI HARAMU wasiifuate sasa wanamlalamikia nani?
Angalia kikundi chao kule Nigeria cha BOKO HARAMU(elimu ya magharibu ni haramu) wanapigania kuikataa elimu ya kawaida ili wasome elimu ya dini yao tu.

Kama dini yao inakataza kuchangamana na watu wasiokuwa wa dini yao hapo unategemea nini? Labda shetani peke yake

Utakuta watoto wao jioni wanafundishwa elimu yao ikifika kwenye masomo ya shuleni wanashindwa hata kuandika majina yao hii ni aibu,wataendelea kulalamika hadi mwisho wa dunia

Sent from mTalk
 
Hoja ya mleta mada haina mashiko kwa sababu: Teuzi zilizokwishafanyika mpaka hivi sasa hazizidi watu 1000, Je katika pool yote ya wasomi wa nchi hii hakuna hata Waislamu 500 wenye vigezo kushika nafasi mbalimbali za uteuzi ili hizo teuzi zionekane zina sura pana ya kitaifa? Hilo ndilo swali la msingi la Sheikh Khalifa. Naona mnarukaruka tu mnakwepa hoja ya msingi!
Mkuu, pengine unaweza kutufahamisha.
Je utajuaje huyu ni Mkristo na huyu ni Mwisalam?
Ili basi tuanzie hapo ili tusiruke ruke kama una vyosema ?
NAOMBA UNIJIBU tafadhali!!
 
The big show alolalamikia serikali hii si shekhe wenu?mjiuwe wenyewe maana si ndo tabia zenu maana nchi zote za mafirauni wanauana wenyewe kiboko yenu trump tu
The big show alolalamikia serikali hii si shekhe wenu?mjiuwe wenyewe maana si ndo tabia zenu maana nchi zote za mafirauni wanauana wenyewe kiboko yenu trump tu

Thats where you are wrong..!

There is no one who is blaming

Mnaambiwa ukweli kisha mnasema watu wanalalamika?

Kwani ni uongo kuwa jamaa yeny Juma Poor Manager anapendelea wakristo katika teuzi zake?

Ni uongo?

Kipindi kikwete yuko madarakan wagalatia wenye roho mbaya kama ya mbwa mwitu ni nyinyi mlikuwa kila siku mnakesha kumwita kikwete ni mdini na kapendelea waislam kwenye madaraka yake pamoja na kwamba aliwapa nafas kubwa nyinyi...lakin kila siku hamkuchoka kumwandama na kumshambulia

Ile mliyokawa mnafanya siyo kulalamika?

Kwahiyo kusema mseme nyinyi ila wakisema waislam wanalalamika siyo?

Watu wa hovyo sana...na matter of fact nyinyi hamna usomi wowote...you are better in nothing rather than wizi na ufisadi tuh

Hopless
 
Wagalatia hususan wa hapa bongo wana roho mbaya sana

Kinachoshangaza zaid wanajita wasomi na hakuna la maana wanachokifanya zaid zaid ya wizi na ufisadi
Nijibu maswali yangu yafuatayo

- hizo takwimu umezitoa wapi???

- nani kafanya hiyo tafiti ???

- ni kipindi/wakati/mwaka gani huo utafiti ulifanyika???

- Idadi ya waislamu wenye SIFA na VIGEZO walioomba scholarship za masuala ya Oil na Gas walikua zaidi ya 150. Je ni kwanini hakuna hata mmoja aliepata huo ufadhili????? Wote waliochaguliwa ni wakiristo. Kunani???

Nasubiri mapovu yako
 
Thats where you are wrong..!

There is no one who is blaming

Mnaambiwa ukweli kisha mnasema watu wanalalamika?

Kwani ni uongo kuwa jamaa yeny Juma Poor Manager anapendelea wakristo katika teuzi zake?

Ni uongo?

Kipindi kikwete yuko madarakan wagalatia wenye roho mbaya kama ya mbwa mwitu ni nyinyi mlikuwa kila siku mnakesha kumwita kikwete ni mdini na kapendelea waislam kwenye madaraka yake pamoja na kwamba aliwapa nafas kubwa nyinyi...lakin kila siku hamkuchoka kumwandama na kumshambulia

Ile mliyokawa mnafanya siyo kulalamika?

Kwahiyo kusema mseme nyinyi ila wakisema waislam wanalalamika siyo?

Watu wa hovyo sana...na matter of fact nyinyi hamna usomi wowote...you are better in nothing rather than wizi na ufisadi tuh

Hopless

Acheni matusi zingatieni mada. Kutofautiana kimawazo ni sawa. Ila hakuna haja ya matusi jamani!
 
Ni heri kuwa na sheikh ngumbalu kuliko kuwa na askofu mwenye PHD kisha anatumia kanisa kufilisi na kuliibia taifa kupitia Escrow account kama Askofu malasusa

Inashangaza unazungumzia waislm kutopeleka shule watoto eti kwa zama hizi hiv unazungumzia waislam wa wapi hasa?

Unyonge wa kusema waislam hawapeleki watoto shule umeshatutoka zama nyiiingi...na hata ukweli huo kwa sasa mnaujua sema basi tuh mnatafuta gia ya kukwepa hoja za msingi kama za sheikh khalifa

Wagalatia Roho mbaya sana...

Nchi hii utadhan kanisa lina hati miliki hususan huko serikalin...kutwa kucha kuwananga waislam hawana shule...ajabu ikitokea zikaonenaka barakashia na hijaabu huko maofisin basi chuuki tuh juu yao mnawaandama

Mkitakaje kwani nchi hii muwe pekeyenu?

Basi mtuuuwe kama jamaa zenu wanavyowaua Rohingya Muslims huko Myanmar na huku dunia ikishuhudia
Malasusa alikuwa kwenye kashfa ya Escorow au umeamua kujifurahisha tu ?
 
Nijibu maswali yangu yafuatayo

- hizo takwimu umezitoa wapi???

- nani kafanya hiyo tafiti ???

- ni kipindi/wakati/mwaka gani huo utafiti ulifanyika???

- Idadi ya waislamu wenye SIFA na VIGEZO walioomba scholarship za masuala ya Oil na Gas walikua zaidi ya 150. Je ni kwanini hakuna hata mmoja aliepata huo ufadhili????? Wote waliochaguliwa ni wakiristo. Kunani???

Nasubiri mapovu yako
Acha uongo mi muslim nmepata scholarship hiyo afu we unasema hakuna
Jibu maswali ya mleta Uzi, moja baada ya jingine! acha povu!
 
Back
Top Bottom