Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Hapo kuna vitu vi3 tofaut vimezungumziwa

Ila stori ya pili ndio nimeipenda...... Mi nimependa Hii Stori

Nakunukuuu.....

""""The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!"""

Mwisho wa kukunukuuu

Cc........
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha haaa na mbadooo! Mzee baba ameagizia zingine 2 zinakuja mwakani, DILIMULAIN mpya, BURANDI NYUU kabisa! Sasa hapo ndiyo wabongo tutachonga sana, Mzee baba hajali cha gharama za wese, wala "sevisi" wala "meintenesi", yeye ameshaamua.

Sasa hivi Mzee baba amepewa jina jipya, "PROFETI" na hizo mbili zikiingia atapewa jina lingine jipya "ENJO MIKAELI"!

By the way mkuu Mshana Jr umenifurahisha sana leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] plofeti.....oh my futi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sina haja ya kupga kelele kisa hvo vindege vyenu, hata mkitaka kanunueni air force 1 ya trump, sibabaiki coz najua nchi yangu hamtokuja kupiga hata robo hatua kimaendeleo katka nyanja zote hapa duniani milele na milele, i only care about my ugali tu.
Watakaopata shida ni uzao wako lakini kumbuka hilo
 
Mwaka 1984 nilikuwa miongoni mwa watanzania wazawa wachache waliobahatika kununua mashati new fashion ya juliana.....Mashati yaliyosemekana kuleta ugonjwa ama kuja na ugonjwa usiotibika wa JULIANA(UKIMWI)
Mwaka 1990 nikabahatika tena kuwa miongoni mwa wa watanzania wachache waliokuwa na uwezo wa kununua sarawili za jeans za SAVCO na CASUAL KHAKI za BioAcT....RABA za LAKUPANDA zenye gidamu za kung'aa za rangi mbili tofauti
Miaka ya 2000 nikabatika tena kuwa miongoni mwa watanzania wachache waliokuwa na uwezo wa kuingia show room na kuvuta CRESTA BALOON GX 90...kwa cash money!!!
Kwa mara ya kwanza...tena sharp kwa haraka mwaka 2005 nikaingia cha jinsia pinzani kwa kuvuta FORD EXPLORER V8 USED LEFT HAND la kimarekani....baada yawiki moja tu likawa limenikifu....lilikuwa tayari limeshakula wese la laki..(bythen petrol lita moja ilikuwa buku) Road licence haikuwa mbaya ila service ikawa ghali sana
Gari inachagua coolant
Gari inachagua petrol
Gari inachagua engine oil
Gari inachagua hydraulic
Gari inachagua hata break fluid....
Nikajisemea...naunikome mwana wa mwenzio sikutaki tena...nikaliuza Kongo kinshasa tena kwa ndumba

The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!

RIP mzee Sanga wa Jmall casino ...tutakukumbuka daima kwa upendo wako na HAMMER lako rangi ya njano ...posta masaki petrol erufu hamsini...gharama za dimulaima likiwa limepaki unapata viwanda kadhaa(Tanzania ya viwanda)...[emoji144] [emoji144] [emoji144] gharama ya kulirusha hewani....? Sitaki nikupe maumivu na jakamoyo...tunafilisi kibubu kirohombaya kabisa....sijakwambia kuhusu bei ya manunuzi yake..,usitake kujua.....HAYAKUHUSU...Ila ninachotaka kukwambia ni hiki tuu...TUMETENDA SHARP KWA HARAKA...! ILA TUMEBUGI BIG TIME...!!!![emoji102]
mshana giji la fasihi!
 
Jirani yetu Kazi kununua sofa mpya za bei mbaya,Magari makali v8,anakula bata hotel kali,lkn mke wake na watoto dhoofu hali wanakula mara moja kwa siku,hawana nguo,uhakika hata wa panadol,akiwa nje anajisifu sana kuwa ni mtetezi na anaijali sana familia yake,
 
Sometimes unaweza kutaka kuonekana una akili matokeo yake u end up looking dumb.
Huwezi kuwa na akili nje ya field yako,unaweza dhani unajua kila kitu,kumbe ni mweupe tu zaid ya kuchanganya madawa,mweupe kwenye general economic, international relations, public speaking, communication skill, laws, political science, general study,civics,history ujui hata rise and fall of kingdom mfano mwanamutapa kingdom, nk,.Wengi wakipata haki ya kupigiwa saluti hujiona wana akili kuliko wote,kumbe wako uchi na weupe nje za field zao.
 
Mandege yenyewe ya hovyooooo. Hilo jina la terrible teen yaani kijana-mtoto-wa ajabu lilipatikana kutokana na usumbufu wake. Ndege nzitoooo na hulipuka petri. Eti tunadanganywa ina uwezo wa touch and go, mbona hicho ni kitu cha kawaida sana ambacho kila ndege inaweza kufanya, hata helicopter ina uwezo wa touch and go.
Gharama yake ni zaidi ya billion 600. Twafaaaa
Hizo zingetumika kuwajengea wanyonge uwezo wa kufikiri ili wajinasue na kuisoma no zingekuwa na tija.
 
Nakumbuka kauli "Hata mkila nyasi sisi hayatuhusu lazima ndege ya rais inunuliwe" kilichokuja kutokea wengi mnakijua.
Alisomeshwa no hana hamu ashukuru,ingekuwa zama hizi za Giza walahi angekuwa hirizi angekuja kukionq jua hadi zama hizi zipite na hivi anatokea kaskazini.
 
Watakaopata shida ni uzao wako lakini kumbuka hilo
Mapato na matumizi,
Screenshot_2018-07-11-23-34-42.jpg
 
Angalia usijepigiwa shangazi zako,Wangu wako town siku mingi,kipigo hakiwahusu.
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji102]
 
Jirani yetu Kazi kununua sofa mpya za bei mbaya,Magari makali v8,anakula bata hotel kali,lkn mke wake na watoto dhoofu hali wanakula mara moja kwa siku,hawana nguo,uhakika hata wa panadol,akiwa nje anajisifu sana kuwa ni mtetezi na anaijali sana familia yake,
Wanawake wa Kino, Migo na Kariakoo , micheni ya dhahabu na mapambo ya bei ghali ....bazee wax na madela...ukikutana naye unaweza kumgwaya...bahatika kufika anapoishi...bahatika kuona familia yake....
 
Nyie themeeniii,sisi mbere kwa mberee!!(hivi hii ndio ilikuwa kamba za 2015 eeh!)Nimekaa hapa nimeanza porojekiti mupya inaitwa 2020 kamba aghali zakung'aa.Najua wabongo wanapenda kamba turusi huwapati we wape stori kamba utashangaa wanakuhadithia hata wewe uliyewapa stori kumbe stori yenyewe kamba aaah!mwanawane mimi bana,ni full ubunifu.Dimu lain zetu ni tofauti na zao zina sipesifikesheni tofauti mwendo wa kuruga injini ya staleti hivyo wapuuzeni hao wanaosema galama walitaka itumie maji?Kama unaona dimu laini ni galama kapande mtumbwi ebo!Na nimemuagiza kaka yenu akisikia mtu anaiponda dimu laini yetu amchape makonde akome kweri kweri.Na hao puresisheni waambieni nawaangalia halafu nasema hiiiii!!
Jamani sio mimi nimesikia kwenye radio sijui source mimi
 
Back
Top Bottom