Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Alafu kuna watu wanadhani ndege imenunuliwa kama nyanya sokoni...kwa vile hawajui mikataba....kuna notice za guarantee....watu wasidhani serekali ni wajinga
 
Hivi vitu huwa ni wazi.. Tena vinafanywa na kitengo cha manunuzi cha umma kwa kushindanisha makampuni na kuweka tenda... Je hili lilifanyika?
 
One thing to note.....
ubora wa ndege hutegemea muda mrefu wa kuruka angani sio upya tu...na ndege mpya ndio ndege zenye matatizo ya kiufundi mengi kutokana na upya...kuliko ndege ya zamani....
 
Hapana kama kuna vyombo salama basi ni ndege na kama kuna vyombo usalama unazingatiwa kwa asilimia 100 basi ni ndege...
Test flight hours haifanywi kwa masaa machache ndugu yangu.. Mpaka chombo kinapoingizwa sokoni ujue hakina shida
 
Brother kubali hujui tukusaidie kuelewa..
wakati wa testing ndege inahesabika kuwa ni ya mtengenenezaji ni terms hizo.....
inapochukuliwa na mnunuzi kunakuwa na kipindi cha matazamio na ndio maana hilo dege letu kwa kipindi cha matazamio linapiga root za ndani
 
Vp kuhusu ubovu? Wa kumuamini ni msemaji au ni wewe? Rejea sababu alizotoa kuhusu ubovu
 
Uzuri ukiwa na Dhama Tz ata ufanye la kijinga lolote kwa Tz Utapata wakwako wa kukusaport.

Ndivyo ilivyo Ata sasa atapotiwa ata Baada ya kugundua tunadumbukia shimoni Hata huko shimoni.
 
Brother kubali hujui tukusaidie kuelewa..
wakati wa testing ndege inahesabika kuwa ni ya mtengenenezaji ni terms hizo.....
inapochukuliwa na mnunuzi kunakuwa na kipindi cha matazamio na ndio maana hilo dege letu kwa kipindi cha matazamio linapiga root za ndani
Sijawahi kuona wala kusikia hiii kwa makampuni makubwa kama Emirates kuwa wakichukua ndege mpya kutoka Boeing au Airbas wanafanya testing rout za ndani Nchini kwao.
 
Imebidi tu nikae kimya
 
Back
Top Bottom