Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,510
Si kila aliyeshika gazeti analisoma.... Si kila ashikaye gazeti amelisoma na kuelewa kilichoandikwa.... Kuna kuangalia maandishi ya post, lakini pia kuna kuielewa post.....Ukiwasikiliza waswahili huwezi kufanya chochote. Few years ago nilikuwa na BMW kali sana waswahili wakawa wanasema unamiliki vipi BMW huku unakaa nyumba ya kupanga! Now I got two houses and driving a Passo waswahili wale wale wanasema unawezaje kuwa na nyumba mbili unaendesha Passo, BMW ndio hadhi yako! Niliwapa jibu moja tu 'MTAPATA TABU SANA'
NB: Ni stori tu haina ukweli wowote.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naunikome mwana wa mwenzio sikutaki tena...nikaliuza Kongo kinshasa tena kwa ndumba
Ata ili DIMULAINA nalo tutalipaki halina mda mrefu au uyu dereva atakutafuta kk ufanye Ndumba tuliuze ata Rwanda
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiwasikiliza waswahili huwezi kufanya chochote. Few years ago nilikuwa na BMW kali sana waswahili wakawa wanasema unamiliki vipi BMW huku unakaa nyumba ya kupanga! Now I got two houses and driving a Passo waswahili wale wale wanasema unawezaje kuwa na nyumba mbili unaendesha Passo, BMW ndio hadhi yako! Niliwapa jibu moja tu 'MTAPATA TABU SANA'
NB: Ni stori tu haina ukweli wowote.
Sometimes unaweza kutaka kuonekana una akili matokeo yake u end up looking dumb.Si kila aliyeshika gazeti analisoma.... Si kila ashikaye gazeti amelisoma na kuelewa kilichoandikwa.... Kuna kuangalia maandishi ya post, lakini pia kuna kuielewa post..... View attachment 806878
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maza ako alikuwa kabila gani? Sio kwa utemi huoKaka Mshana umenikumbusha hayo madhati ya Juliana. Nikiwa chekechea baba alinunua nasmini kwa kutumia Pesa yote aliyokuwanayo Ie salary. Home mama hakumuelewa kabisaaa. Nakumbuka zilipigwa ngumi mama akirusha chochote kilichopo, baba alikimbia usiku kucha. Asubuhi kwa balozi, enzi hizo wagambo walikuwa hatari sio km Hawa wa sasa. Wakatia timu home kumdaka mama. Lkn mwishowe Shati ililoweshwa na kusilibwa kwenye vumbi jekundu haikuvalishwa tena, lilipotezwa. Msingi alikuwa mtanashati sana. Dah, hizo Shati Xilikuwa hatari sana brooo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinikumbushe machungu yaleee! Nimekaa nafanya mazoezi ya kunyanyua glasi kisha naambiwa balimi zangu hazitofika. Nilihuzunika mnoo.Kutoka subra ya Noah hadi matarajio ya balimi nne halafu vyote holaaa??
Mzee baba ametaka masifa kwa jirani kuonekana kanunua ndinga mpyaa kumbe ndani tunalala njaa
Ndinga linataka wese la hatari
Mi nacheka hiiiiiii DILIMULAINA