Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Hata Zinunuliwe Dimulaina Kumi Huku Vijijini Maisha Yanaenda Poa Tu. Kwanza Hakuna Habari Kuna Vitu Vinaitwa Bombadia Na Dimulaina. Huku Maisha Ni Poa Sana, Bora Upate Ugali Asubuhi Na Jioni Siku Inapita, No Stress
 
hahahaha...dadeq " ngoja wale team kusifia sifia "".. waje ""!!.Watoto wa Lumumba "". ... "" by the way ""mshana nawewe ni kikongwe mnooo"... yaani umeanza kumliki Gari tangu miaka ya 90 ...hahaha
 
Ukiwasikiliza wabongo hautaendelea; wao wanapenda maisha ya ujima na kukosoa kila kitu. Wanashangaa serikali kununua ndege hawashangai kuna watu binafsi wanamiliki shirika la ndege. Unaponunua vitu vya gharama lazima ujue kuna gharama zake pia za uendeshaji. Na umuhimu wake sio kwenye nauli tu. Nauli peke yake haziwezi lipa kibiashara kuna mjinga humu anauliza eti ndege itaweza kweli kujaa.. wabongo kweli wamerogwa na hawaelewi wanataka nini.... Hapa kazi tu.
 
Haraka haraka sio nzur mda mwingne

Kuna kipindi tafakari itafanyika kwa kina na kuja na upembuzi yakinifu mwengine

Tarehe 08/July/18 niliumia kiasi fulani.
 
Ukiwasikiliza wabongo hautaendelea; wao wanapenda maisha ya ujima na kukosoa kila kitu. Wanashangaa serikali kununua ndege hawashangai kuna watu binafsi wanamiliki shirika la ndege. Unaponunua vitu vya gharama lazima ujue kuna gharama zake pia za uendeshaji. Na umuhimu wake sio kwenye nauli tu. Nauli peke yake haziwezi lipa kibiashara kuna mjinga humu anauliza eti ndege itaweza kweli kujaa.. wabongo kweli wamerogwa na hawaelewi wanataka nini.... Hapa kazi tu.
Uzuri wa maandishi hayafutiki.....na uongo hupanda lift wakati ukweli hukwea ngazi
 
Hata Zinunuliwe Dimulaina Kumi Huku Vijijini Maisha Yanaenda Poa Tu. Kwanza Hakuna Habari Kuna Vitu Vinaitwa Bombadia Na Dimulaina. Huku Maisha Ni Poa Sana, Bora Upate Ugali Asubuhi Na Jioni Siku Inapita, No Stress
 
Ukiwasikiliza wabongo hautaendelea; wao wanapenda maisha ya ujima na kukosoa kila kitu. Wanashangaa serikali kununua ndege hawashangai kuna watu binafsi wanamiliki shirika la ndege. Unaponunua vitu vya gharama lazima ujue kuna gharama zake pia za uendeshaji. Na umuhimu wake sio kwenye nauli tu. Nauli peke yake haziwezi lipa kibiashara kuna mjinga humu anauliza eti ndege itaweza kweli kujaa.. wabongo kweli wamerogwa na hawaelewi wanataka nini.... Hapa kazi tu.
Umeshalipwa ...hiyo buku saba ""!?
 
Ukiwasikiliza waswahili huwezi kufanya chochote. Few years ago nilikuwa na BMW kali sana waswahili wakawa wanasema unamiliki vipi BMW huku unakaa nyumba ya kupanga! Now I got two houses and driving a Passo waswahili wale wale wanasema unawezaje kuwa na nyumba mbili unaendesha Passo, BMW ndio hadhi yako! Niliwapa jibu moja tu 'MTAPATA TABU SANA'

NB: Ni stori tu haina ukweli wowote.
hahahaaa....umemgusa mtu na stori hii
 
Aisee sikuwahi kujua kama Mshana unamfahamu huyu mzee Sanga wa Koli Finance,ila ofisi zake zipo JM Mall.
 
Back
Top Bottom