Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

Aisee sikuwahi kujua kama Mshana unamfahamu huyu mzee Sanga wa Koli Finance,ila ofisi zake zipo JM Mall.
Tunapopondana humu jua kuna siku tutakutana mitaani...apumzike kwa amani ...he was such a great guy.....tutamkumbuka daima....he was a true brother to me
 
Tunapopondana humu jua kuna siku tutakutana mitaani...apumzike kwa amani ...he was such a great guy.....tutamkumbuka daima....he was a true brother to me
Aisee, ni kweli mkuu, ila mdogo wake Patrick " Papaa" bado analiendeleza.
 
Vipaumbele
IMG-20180711-WA0045.jpg
 
Hata Zinunuliwe Dimulaina Kumi Huku Vijijini Maisha Yanaenda Poa Tu. Kwanza Hakuna Habari Kuna Vitu Vinaitwa Bombadia Na Dimulaina. Huku Maisha Ni Poa Sana, Bora Upate Ugali Asubuhi Na Jioni Siku Inapita, No Stress
.
IMG-20180711-WA0046.jpg
 
kusoma na kuelewa n vitu viwili tofaut, wazee wa code error na network loading bd tunakuna vichwa vilivyojaa tunda za mapapai
Hapo kuna vitu vi3 tofaut vimezungumziwa

Ila stori ya pili ndio nimeipenda...... Mi nimependa Hii Stori

Nakunukuuu.....

""""The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!"""

Mwisho wa kukunukuuu

Cc........
 
The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!
Ha ha haaa na mbadooo! Mzee baba ameagizia zingine 2 zinakuja mwakani, DILIMULAIN mpya, BURANDI NYUU kabisa! Sasa hapo ndiyo wabongo tutachonga sana, Mzee baba hajali cha gharama za wese, wala "sevisi" wala "meintenesi", yeye ameshaamua.

Sasa hivi Mzee baba amepewa jina jipya, "PROFETI" na hizo mbili zikiingia atapewa jina lingine jipya "ENJO MIKAELI"!

By the way mkuu Mshana Jr umenifurahisha sana leo.
 
sina haja ya kupga kelele kisa hvo vindege vyenu, hata mkitaka kanunueni air force 1 ya trump, sibabaiki coz najua nchi yangu hamtokuja kupiga hata robo hatua kimaendeleo katka nyanja zote hapa duniani milele na milele, i only care about my ugali tu.
 
Walio kuelewa wachache lugha ya wenye iq kubwa kama unazakuku unapita hivii [emoji125]
 
Back
Top Bottom