Shame on you US Embassy TZ. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shame on you US Embassy TZ.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UmkhontoweSizwe, Aug 6, 2009.

 1. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Yes, shame on you because you are so mean to the point of violating human rights. Your country claims to be champions of human right in the world, but you here in Tanzania act insanely and contrary to what the US claims to be; shame on you!

  Guys, I know you're still wondering over what went wrong with the US Embassy. Let me tell you the story that aroused my anger. This evening I have been informed that the US Embassy has denied a US visa to a 16 years old girl; yes, a 16 years old girl! She applied for a visa to go join her family (both parents and siblings) in the US (her father is in school there). She was denied by the claim that it seems her father wants to take all his relatives to the US, which is not true because he only has taken his immediate family (wife & children). It doesn't make sense to call "relatives" someone's immediate family

  How can you deny a "totally" depend child to join her family?? I don't get it! Is being with her family not her right? Is denying her that right not a violation of human rights? How can you act like that to an underage child? I say it again, shame, shame, shame on you US embassy.

  My take:
  US Embassy: Do you know how you're affecting, emotionally, socially, psychologically, this young girl's future by keeping her separated from her family? How would you feel if someone does that to your own child?

  Do unto others what you would want them to do to you.
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh labda kuna kingine behind this but pole sna kwa binti na familia yake, naomba tufafanulie zaidi baba anakaa kwa muda gani huko maana wao watu wa ubalozini wanasababu zao ndo maana wamkataa kutoa visa!!
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu, hakuna ufafanuzi zaidi ya nilivyoeleza kwenye post. Binti kaambiwa tu kwamba, "inaonekana baba yako anataka kupeleka 'ndugu' zake wote marekani, kwa hiyo hatukupi visa. Habari ikaishia hapo.
   
 4. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwanza pole sana, sijui wewe ni mzazi au mlezi wa huyo binti. La msingi kujua ni kuwa kila nchi ina taratibu zake kuhusu masuala ya uhamiaji. Kwenye website ya Ubalozi wa marekani tanzania, sehemu ya visa imesisitizwa kuwa ni jukumu la msafiri kuthibitisha kuwa atarudi nchi yake. Soma nukuu hapa chini

  Consular officers do not have standard questions that they ask each applicant. They tailor their questions to fit each applicant's personal situation in Tanzania. The primary criterion for most visa categories is that you establish your intent to leave the United States and return to a residence in your home country. You should be ready to discuss in detail your job and income, your family situation, and reasons you must return to Tanzania after your visit to the United States. In assessing your credibility, the officer may ask about the why you are traveling, how you are financing your trip, and what your travel arrangements are.

  Hata hivyo maelezo yako hayaonyeshi ni sababu ipi hasa huyo binti amekataliwa visa, ulijikita zaidi katika kutoa lawama. Tupe sababu hasa ni zipi? Mpaka hapa mimi sijaona kama kuna kosa lolote.
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Ndo maana sipendi kuomba Visa US!

  Halafu wakija Tz..watu wanawapapatikia!
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mwambie babamtu amwandikie barua ya manung'uniko local Congressman/Congresswoman wa district anayoishi. It may take some time before a reply is forthcoming therefrom, but its worth the wait. It usually works, trust me!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Look, kwenda Marekani ni privilege na sio right. Kwa hiyo mtu ukinyimwa visa usijilize lize. Ebo
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160

  Mkuu una ID ngapi maana uandishi umefanana na jamaa fulani hapa JF
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Ebana eeh uandishi wake umefanana na wa nani? Maana usije ukaangushiwa ban kama walilomwangushia NN....
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  HAhahahah mazee ngoja ni nyuti naogopa Keko kamanda!
   
 11. S

  Shamu JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Can you explain more. Do you know if her parents are US permanent residence? or they live in US with student visa?
   
 12. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Binafsi nadhani labda kama kuna taratibu hakukamilisha maana mbona mi nilipata visa pale bila hata matatizo huenda hana sababu za msingi za kuja huku US.Namshauri wasiliane na mzazi wake ili kama kuna document zinatakiwa basi amtumie.Pole bint!
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwanza sheria na sifa ya kupata visa unabidi ulist kisha tuone na hiyo visa process ya binti huyo ime kwendaje mpaka kukataliwa. You have to know that U.S. officer can deny anyone a visa pasipo kutoa sababu zozote. We might not like it but ndiyo sheria zao na wana zifuata to the book. So give more details please haswa za huyo binti. Hatuwezi kuhukumu kwa kuangalia upande mmoja tu. Saa nyingine ni upande wa muombaji ndiyo hawa fuati taratibu zinazo takiwa au kutimiza sifa zinazo hitajika ndiyo maana wana nyimwa visa.
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Naomba nisaidie kitu kimoja huyo binti ana miaka 16 na kama sikosei atakuwa anasoma sekondary, Hivyo alikuwa anataka visa ya aina gani hasa?? kwa mtazamo wangu kama alikuwa anataka for long stay bas waliona kabisa anataka kusoma Us na kutumia mwanya wa baba mtu! Kama ilikuwa ni visit tuu bas sidhani baba mtu anaweza kumleta binti yake kwa sababu yeye mwenyewe ni mwanafunzi! jaribu kutufafanulia zaidi japo sio mtaalam sna wa Visa nitakusaidia kwa upeo wangu! Pole sna jipe moyo.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Yes, jamaa wana discretion ya kukupa au kukunyima bila sababu yoyote. Ila na watu wasisahau kuwa kwenda Marekani sio haki yao bali fadhila(?) (privilege)
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  US Immigration policy is rotten to the core, I hope the Obama Administration - as much as it is burdened by the current economic crisis and all that- can find time and resources to fix it.This is a policy issue, nothing specifically against Tanzania.The consulars are given so much discretionary room, the default is not favorable etc.

  However the complicity of Tanzanian may render the the principles of reciprocity unheeded if not impractical or unusable.I regret to inform the board that, our terms of trade and economic position do not allow our government much of a privilege of sovereign confidence or sayinng in settling these matters .
   
 17. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #17
  Aug 9, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Omega Psi Phi

  Hapa ndipo unathibitisha UPUMBAVU wako!

  Tangu lini kwenda Marekani ikawa "privilege"? Kwenda Marekani ni sawa na kwenda nchi nyingine yoyote, hata kama unaenda Nairobi! Hakuna privilege hapo!

  Wewe ni mmojawapo wa watu wanaoitukuza Marekani, na kuifanya kuonekana kama Nchi Namba 1 duniani, kitu ambacho SIO KWELI! Marekani haina tofauti na nchi nyingine yoyote!

  Mimi nilidhani ungejivunia UTAIFA wako, na kusema kuja Tanzania ni "privilege", si kwenda Marekani.

  Nimeishi Marekani takriban miaka 5 na ushee, naijua vilivyo. Hakuna cha privilege wala nini. Mwaka 99, niliporudi huko, nilikuta nchi ikiwa kwenye hali mbaya ya uchumi kuliko nilivyoiacha mwaka 89! Huniambii kitu!

  Usitufanye watoto hapa! Bora Tanzania kuliko Marekani!

  --------

  Kuhusu huyo Binti mwenye miaka 16 aliyenyimwa haki yake ya kuwa na familia yake, anaweza kumwandikia barua Senator Hillary Clinton, akalalamika, au mtu yeyote anaweza kuiandika, kwa niaba yake, na kisha kuitisha Press Conference, awaalike BBC na other International news media reps, kisha tusikie majibu yake. Kama hakuna atakayewajibishwa huko Ubalozini, sijui.

  Never underestimate the power of the media, the Fourth Estate!


  ./Mwana wa Haki
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  --------

  Kuhusu huyo Binti mwenye miaka 16 aliyenyimwa haki yake ya kuwa na familia yake, anaweza kumwandikia barua Senator Hillary Clinton, akalalamika, au mtu yeyote anaweza kuiandika, kwa niaba yake, na kisha kuitisha Press Conference, awaalike BBC na other International news media reps, kisha tusikie majibu yake. Kama hakuna atakayewajibishwa huko Ubalozini, sijui.

  Never underestimate the power of the media, the Fourth Estate!


  ./Mwana wa Haki[/QUOTE]mmh mkuu uliyosema ni sawa lakini hapo mwisho naona ni soo,huoni kama yanaweza kuchimbuliwa mengine,maana nnachokumbuka ni kwamba babaake ana student visa,sasa family yooote imfuate huko??lakini poa nadhani kuna mahali kuna tatizo mpaka akanyimwa hiyo visa
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Marekani Marekani, kuna nini cha zaidi huko?
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nadhani huyo binti alijichanganya alipoulizwa maswali na ofisa wa ubalozi. Kinacho takiwa kufanywa ni kujua, kama baba na mama wa huyo binti wako US tayari, basi tujue wanaishi huko kwa visa gani, STV au vipi? na kama ni STV basi ajaribu kuomba tena lakini kwa sababu tofauti.

  Lakini kusema uanze kuiweka issue kwenye international media, mtaona mengi hata baba mtu anaweza kutimuliwa kama ikigundulika amepeleka na familia ili hali anasoma kwa muda mfupi na kurudi.
   
Loading...