Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,475
- 608
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika Mkoa wa Mtwara.
Shaka ameonekana kutoridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025,Pamoja na serikali kutoa 157.8BL kwaajili ya Ukarabati wa bandari ya Mtwara kwaajili ya kutoa ajira mpya kwa Watanzani mradi bado unasuasua hali iliyopelekea Shaka kutoa Kalipio kali kwa Uongozi wa Mkoa wa Mtwara.
Shaka amewaonya vikali watendaji wa Serikali wanaotaka kukwamisha maendeleo ya Watanzania na kwakufanya hivyo Wanamkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuharakisha na kurahisisha maendeleo ya Wanamtwara na Watanzania kwa ujumla wake.
View attachment 1943022
MACHINGA ndio Ajira mil.8Nawasalimu kwa jina la JMT,

Kaziiendelee TanzaniaNawasalimu kwa jina la JMT,

Chama chake ndio kimeunda serikali. Hivyo anasimamia kama serikali inatekeleza Ilani ya chama chake.Huyo jamaa ana mamlaka gani serikalini?
Matamko ya wanasiasa hayana analysis, sikiliza a hana nayo. Fikiria swala la ajira 8m. Tanzania ina watu 60m, 30m wakiwa ni watoto. 30m inaaminishwa 80% ni wakulima na wafugaji ie 24m. Wanabaki 6m ambayo wamo walio na ajira tayari, wafungwa, wagonjwa, vikongwe nk. Ajira 8m unawaaminisha watu uta leta na wageni kupata ajira! Hizo ni ngonjera za wanasiasa kujiandaa uchaguzi.Nawasalimu kwa jina la JMT,