CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,985
- 4,084
Soma mpaka chini papara za nini?Ameyasema akiwa wapi?
Komredi Shaka ni mfano wa kuigwa.....Shaka anasiasa safi sana huyu jamaa,
Lazima tuwe na viongozi watakao simama na wananchi wakati wote...
Jamaa kanyooka sana,Komredi Shaka ni mfano wa kuigwa.....
Na wewe Una Tabia kama za ShakaKiongozi wetu KAONGEA.....
Mzalendo Shaka Hamdu Shaka AMENENA...
Haijaandikwa ndiyo maana nikaulizaSoma mpaka chini papara za nini?
Kwani CCM si ndiyo inatawala? sasa anajilalamikiaje mwenyewe? au CCM haina control kwamba kila chombo cha serikale yake kinajifanyia kinavyotaka? Hawa watu waache cheap politics za danganya totoWatu hawashtuki tu Serikali ya Rais Samia niya "UTU" sana, Lazima waache mambo ya kuwabambika watanzania kesi na kuwavunja miguu halikubaliki kabisa,
Shaka amekuwa kiongozi mwenye utu sana nafsini mwake kwenye hili tunamuunga mkono 100%,Tusikubali watu wamchonganishe Rais na wananchi wake,