Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Ngoja wale pinga pinga wakitoka msalani na kuikuta habari hii... lazima watakuja na mawazo tofauti ya kupingana na Shaka. Na la kushangaza zaidi watawatetea wakala wa misitu ilimradi tu waende njia tofauti na ile ya CCM na Serikali yake.
Hilo sio jambo lakupigia porojo zakulalamika kwenye majukwaa wakati sheria na taratibu ziko wazi na wanaofanya hayo wanajulikana na yeye ni kiongozi wa chama chenye serikali yenye hicho chombo.Wakati Tfs wanaingia kwenye mfumo wakijeshi mambo kama hayo tuliyatarijia sasa ilikua ni jukumu la serikali kupitia wizara husika kufunza hao watumishi watende kuendana na sheria za nchi nasio vinginevyo.ila sasa ukiona wanajichukulia sheria mkononi unatakiwa ujue kuna shida mahali na ata wewe iko siku yaweza kukukuta.Wewe endelea kusifia hadi zamu yako yakuvunjwa itakapofika.
 
Ngoja wale pinga pinga wakitoka msalani na kuikuta habari hii... lazima watakuja na mawazo tofauti ya kupingana na Shaka. Na la kushangaza zaidi watawatetea wakala wa misitu ilimradi tu waende njia tofauti na ile ya CCM na Serikali yake.
🀣🀣

BAK na ERYTHROCYTE wao kupinga tu kimsukure.....
 
Tuendelee kuwatetea wananchi wetu,

Nikweli Shaka ni kiongozi mzuri na nimwadilifu sana ,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Haturudi nyuma.....

Ni DHIMA iliyochukuliwa na serikali sikivu ya awamu ya 6πŸ’ͺ
 
Watu hawashtuki tu Serikali ya Rais Samia niya "UTU" sana, Lazima waache mambo ya kuwabambika watanzania kesi na kuwavunja miguu halikubaliki kabisa,

Shaka amekuwa kiongozi mwenye utu sana nafsini mwake kwenye hili tunamuunga mkono 100%,Tusikubali watu wamchonganishe Rais na wananchi wake,
Swadakta mkuu....πŸ‘
 
TFS tunawakumbusha.....

Moja ya MAJUKUMU ya AFISA WANYAMAPORI ni:-

Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi wa wanyamapori.

Hapo juu haliko KUVUNJA RAIA MIGUU......
Hapo juu haliko KUUA RAIA WALIPA KODI NA MISHAHARA YENU.......


Kongole kwake komredi El Comandante Shaka Hamdu ShakaπŸ‘πŸ‘ŠπŸ˜

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAI


Mkuu I salute you
 
Wamewashika wangapi na wangapi wamewajibishwa ? Bila kufanya hivyo hizi ni Siasa tu...
 
Amekusoma vema mkuu,

Tuendelee kumwombea Rais wetu


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
πŸ‘
2957590_Screenshot_20211008-160457_1.jpg
 
Back
Top Bottom