Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,

Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,

Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,

....na kama atapatikana mtu yeyote kaiba hizi hela za umma lazima akamatwe na kukatwa dushe tena hadharani ili kuwashikisha adabu maana huku mitaani mwizi akiiba hana haki, tunamkata mapanga na kumlawiti kabla hatujamuua. Viongozi wezi wa serikali ni mali yetu kwani ni wafanyakazi wa umma na sie ndiye tunaowalipa hela zetu za machungwa na madafu....so wakibainika tafadhali Mh. Rais Samia tupe sisi hao viongozi tuwashikishe adabu maana wewe utawaonea huruma.....Kwa kweli tumewachoka hawa wapumbavu.
 
Hahaha no mkuu hapa ni Tanzania
 
Umenifurahisha japo Tanzania haliwezekani
 
Hivi kwa akili ya haraka haraka kuna mtumishi yeyote wa umma atafanyia.ama.hufanyia kazi maelekezo na.matamko ya viongozi wa chama!

Huku huwa ni kujifurahisha tu na matamko ili kuelewa na kuona wanafanya kazi, viongozi hawa wanajisahaulisha kuwa enzi za chama kushika Dola ni zilipendwa, wanashindwa kuwa na fundamental approach ya kazi na majukumu yao.

Mawaziri ama chiefs wote watumishi mwisho wa siku wanafuata hierarchy ya maboss wao ktk utumishi na si kiongozi sijui wa chama. That's not realistic ila watabisha tu.

If anything happens you report na unaujua responsible to the hierarchy na sio kwa mwenezi. Furahisha genge

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Nivile hujui modality ya Uongozi tanzania
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,

Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,

Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,

VIVA SAMIA,
VIVA MPANGO,
 
Shaka ni mtu na nusu,
 
Back
Top Bottom