Malume
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,017
- 1,884
Acha ufala mkuuKutibiwa ni anasa kwenye kabila lako?
Tumshukuru Mungu kwa afya alizotujalia
Mengine acha yalivyo,
Acha ufala mkuuKutibiwa ni anasa kwenye kabila lako?
Tumshukuru Mungu kwa afya alizotujalia
Mengine acha yalivyo,
Matusi ya nini tena chief,Acha ufala mkuu
hebu peleka huu upuuzi Lumumba huko.Unataka afukue makaburi kwa faida ya nani mkuu,
Tuanzee hapa kwa Samia na Shaka |Daniel
Niwapi kamsifu jamaa yangu?Kazi kuu ya Shaka ni kumsifia Chief Hangaya
Chadema ndio maana Mungu hawaamini, Mtakuja kuleta Vita kabisa nyie jamaahebu peleka huu upuuzi Lumumba huko.
Poa poa mkuuKila la heri👍🏿
Chato ipi hiyo Au unazungumzia uwanja watu wanaotaka kupeleka mbuzi waote jua?Nani Sasa?
Nenda kesho Chato kunajambo utauliza huko
Kingwangala aliongoza wakati wa Shaka kweli?
Id za kupamba mama wa kambo.NATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,
mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
I'd nyingine ya kumpamba mama wa kambo.Kutibiwa ni anasa kwenye kabila lako?
Tumshukuru Mungu kwa afya alizotujalia
Mengine acha yalivyo,
😍Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,
Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,
Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,