CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Kofia nakuvulia, Camaraderie hima,Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo,
Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo,
Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri ndugu dahari, dunia ina mikondo,
Fikiri hizi habari, ni kushuka na mipando,
Fikiri dunia pori, chaka Ia uwi na kondo,
Fikiri fikiri tendo, la amani na busara.
Fikiri dau muundi, muunda dau muundo,
Fikiri lende kilindi, daule likaze mwendo,
Fikiri dau halendi, nguvu za dau upondo,
Fikiri ninakariri, usiwe mwenye mfundo,
Fikiri tena fikiri, kila ovu liwe kando,
Fikiri mno hatari, ukiwa na mbovu nyendo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
<br />Mapenzi yana ran dunia!! Shairi linaran wap cjui!!!
Shahiri limeeleweka hasa kwa wenye akili timamu,Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo,
Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo,
Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri ndugu dahari, dunia ina mikondo,
Fikiri hizi habari, ni kushuka na mipando,
Fikiri dunia pori, chaka Ia uwi na kondo,
Fikiri fikiri tendo, la amani na busara.
Fikiri dau muundi, muunda dau muundo,
Fikiri lende kilindi, daule likaze mwendo,
Fikiri dau halendi, nguvu za dau upondo,
Fikiri ninakariri, usiwe mwenye mfundo,
Fikiri tena fikiri, kila ovu liwe kando,
Fikiri mno hatari, ukiwa na mbovu nyendo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
<br />
<br />
Fesi buku umkweli, mapenzi yanaraha duniani.
Shairi sio kubeli, rahayake ipo kichwani.
Tusi lete ufedhuli, tuyasomapo gazetini.
ok na mm nna shairi languushikwapo shkamana kilichoko mfukoni mwako ndio chako, usipigie hesabu cha mwenzako!!!!fesi buku umkweli, mapenzi yanaraha duniani.shairi sio kubeli, rahayake ipo kichwani.tusi lete ufedhuli, tuyasomapo gazetini.
Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo,
Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo,
Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Fikiri ndugu dahari, dunia ina mikondo,
Fikiri hizi habari, ni kushuka na mipando,
Fikiri dunia pori, chaka Ia uwi na kondo,
Fikiri fikiri tendo, la amani na busara.
Fikiri dau muundi, muunda dau muundo,
Fikiri lende kilindi, daule likaze mwendo,
Fikiri dau halendi, nguvu za dau upondo,
Fikiri ninakariri, usiwe mwenye mfundo,
Fikiri tena fikiri, kila ovu liwe kando,
Fikiri mno hatari, ukiwa na mbovu nyendo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
Hahahaha.......Fellow tablet katika kufikiri na kutafakari.......ngoja niendelee kumla mbuzi wa iddi kwanza.Fikiri lililo mbele , la nyuma liweke kando
Fikiri usiwe msukule, utakosa kaa na gando
Fikiri acha kelele , kimya kimya uwe mwendo
Fikiri hili na lile , uziepuke skendo
Fikiri utafakari , dunia tambara bovu
Fikiri utahadhari, usije acha makovu
Fikiri kwa Indhari, uache wako utovu
Fikiri usitahayari , epukana na uchovu
Fikiria familia , yako ilokuzunguka
Fikiria daharia, zinavyokupukutika
Fikiria usijelia , usije ukaumbuka
Fikiria zingatia, maisha yalivyochafuka
Fikiria wenye njaa, kama wewe ushatoka
Fikiria wanaotambaa, kama waweza kuruka
Fikiria walivyozagaa , mayatima walochoka
Fikiria kila saa, ni wapi uliposhika?
Hahahaha.......Fellow tablet katika kufikiri na kutafakari.......ngoja niendelee kumla mbuzi wa iddi kwanza.