Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
siko hapa kumtetea Lema kama kweli alifanya makosa hayo anastahili adhabu ya mahakama. Nangoja uthibitisho wa mahakama ndipo nitachangia zaidi mada hii.
Ofcourse...Ni wachache sana wanaweza kushindwa ubunge wakasema wameshindwa kwa sababu wananchi hawakuwa kubali hasusani kama unatakiwa kuandika ripoti kwa nini umeshindwa ubunge.Tumeona Mbatia aliposhindwa alikuja na claims lukuki lakini kaishia kufuta kesi, wanachofanya ni "SOP" kama Matilda angeeleza ukweli; ameshindwa kwa sababu wanaichi hawamtaki asingepewa ubalozi.Kama Lema alisema hayo wanayodai kwa nini hawakumrecord ili waweze kumkaanga vizuri kuanzia hapa ukumbini.Chadema bana .. kwa kauli za viongozi wenu kama hizi ... mkiambiwa ni chama cha kanisa ... mnasema propaganda ... inaelekea mkiingia madarakani mtatuletea mambo ya ufaransa kuwazuia dada zetu kuvaa stara..
msilete chuki,kama mnamtaka lema si mumfuate? Mnamlisha maneno ili iweje.aliesema ivo ni musa mkanga
Sijui kama yuko sawa.... alishawahi kukesha akifanya ibada ya ufufuo kwa marehemu mke wa Mwenyekiti wa CCM Arusha akaishia patupu... hawa ndiyo CHADEMA wanaotaka kuongoza nchi na sera za ubaguzi wa kidini...
hii kauli ni nzito na isingepaswa kutolewa na kiongozi kama yeye
Atakuwa amepatikana na hatia ya udini kama mahakama itamkuta na kosa. lakini kwenye siasa tunahitaji subira ya mahakama kutupa ukweli baada ya uchunguzi
thread kama hizi ndipo utawajua wenye kupenda siasa za udini, badala ya kuona tuhuma hizi ni za Lema na kama atapatikana na kosa atawajibika kwa ubaguzi wake wao watalikuza na kulifanya ni kosa la dini moja kuishambulia dini nyingine.
Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.
Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.
Kesi haijafikia mwisho tuwe na subira hakuna haja ya kushambuliana kwa imani zetu.
Mkuu wala usipoteze muda wako kusubiri mahakama wataamua nini, hata kama mahakama watatengua matokeo base kwenye hizi claims za kina Musa na Agnes watakuwa wajikaanga kwa sababu kuna kesi nyingi zimetupiliwa mbali miaka ya nyuma kutokan na claims kama hizi.siko hapa kumtetea Lema kama kweli alifanya makosa hayo anastahili adhabu ya mahakama. Nangoja uthibitisho wa mahakama ndipo nitachangia zaidi mada hii.
Musa Mkangaa ni shahidi wa kwanza tu bado kuna wengine as long as electronic evidence is admissible ningekuwa na muda nigepeleka tape recorder manake kuna makubwa zaidi ya Alqueda aliyoyasema Mhe. Mbunge dhidi ya yule mama hasa akiwa kwenye Mkutano wa hadhara pale Sanawari, Dara 2, Kaloleni na Kimandolu Lema ana maneno makali sana nyie acheni tu yeye badala ya kujenga dhidi ya CCM aliamua kumvua yule mama nguo moja kwa moja tena yule mwanamke alikuwa jasiri sana manake hata kama ni mwanasiasa ila yale maneno yalikuwa makali mno!
na huyo Musa Ikanga ni nani na ana mahusiano gani na Lema wakati wa kampeni au baada ya kampeni
duh...ccm mwishowe watakuja kujichokonoa bila kujijua
Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.
Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.
Nimetambua kumbe wenzangu humu vihiyo,mtu amepeleka ushahidi kortini wa umbea eti great thinkers mnaujadili.hata mleta hii mada yaonekana amelewa buku mbili za chatanda
Hiyo ni kauli ya LEMA wa CHADEMA.... CCM hapa inauhusiano gani?
Duh!Kama kweli Lema alisema haya kwa moyo msafi ajiuzulu,ndiyo siasa makini na demokrasia ya uwazi inavyotaka!
Elimu kwa kweli inaongeza upeo kwa kiasi kikubwa sana,kama ni kweli alifanya jambo hilo basi elimu yake huenda ikawa ni tatizo.Maana kwenye nchi yakisecular mtu mwenye elimu ya kawaida tu hawezi kutoa kauli ya muundo huo!!