SGS na ALS wamekuja kusema wa makinikia

SGS na ALS wamekuja kusema wa makinikia

Watulipe trl 108 zetu tupewe noah zetu,.. ACACIA acheni ubabaishaji tunataka mlipe hizo hela order ya noah tayari tunawasubirien nyie mlipe
Majamaaa mnataka Noah tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Profesa Mruma akae tayari sasa ni mpambano na the leading laboratory in the mining industry .
Hapa patam " Muda ndiyo Msema kweli"

Kutokana na Makontena yaliyopo Bandarini... Prof Mruma yupo sahihi kwa kuwa ametumia sample ya makontena yaliyopo bandarinii na alichokiona mle ndicho hicho kilichotumika kutoa mjumuisho wa makontena yote kuwa huenda yalikuwa hivyo.

Prof Yupo Sahihi basing na Sample alizonazo ambazo specimen zipo na Material Yapo. Kwa hiyo hata hao sijui SGS na huyo Mzungu Mwingine aende achukuwe the same sample ambazo zipo kwenye makontena yaliyopo Bandarini Isaka na kwingineko Nchini aseme kuna nini siyo template ambazo zipo Miaka Yote.

Nilichojifunza na kukiona nikuwa hao SGS na Huyo Mzungu Mwingine are the one to pay kwa kuwadanganya. Ukiangalia kuna mmoja anasema yeye amechunguza madini yaliyopo Kwenye Mkataba .. Sisi tumejiridhisha kuwa kwenye contena kuna Madini zaidi ya yaliyopo kwenye Mkataba .
 
Hao SGS hamna nilichokiona cha maana kwenye ripoti yao.
SGS wajanja wanajichomoa na wanawapima watanzania akili zao.
Hata kama wanajisifu wapo karibu nchi zote, wakiongoza katika kufanya analysis, sampling n.k n.k Bado haijatengua ripoti ya Pr Mruma kuprove alichokiona kwenye makontena.
Nianze na mfano.
Umeenda hospital unahisi kichwa kinakuuma, umemueleza dr akupime uenda una malaria, Dr akakuchukua damu bahada ya matokeo akagundua kweli una malaria.

Tanzania ni kama mgonjwa pale tunasimamiwa na TMAA, tunategemea matokeo ya sampling kutoka SGS ambae ndio kama DR, akitoa matokeo ya sample aliyochukua na TMAA ndio wanafile hiyo hiyo.(kumbuka hapo tushamwabia atupe matokeo ya copper, silver na gold.
Hapo Dr wetu SGS kashamaliza kazi yake, hana lawama, lawama zitakuja kwa tofauti ya viwango tu.

Sasa kama umeenda hospital na ukamueleza Dr mie naumwa lakini chukua damu na upime magonjwa yote. Hapo dr atakuja na majibu yote una typhod, UTI, Kaswende, gono, malaria, kichaa n.k n.k (rejea uchunguzi wa pr Mruma mchanga kapima kila content iliomo mule)
Umeona kazi ya SGS ilivyo rahisi, kama watalazimika kuzipima upya sample za nyuma ni lazima zitaleta majibu tofauti na waliyonayo kwenye ripoti na hili si kosa lao ni makubaliano ya TMAA na Accacia wapime gold, silver na copper.

Hapo SGS hana makosa, makosa yapo kwa Accacia wanakijua wanachokifanya
Hapo unakuja kwenye sheria "payable minerals" acacia kutokana na mikataba wanalipia kodi na mrabaha kwa metal tatu tu gold, silver & copper. So ili madini mengine yawe Included inabidi kubadili mikataba
 
Hakuna mtu amesema takwimu zao ni za kugushi au forged agenda hapa ni usahihi wa hizo takwimu .tayari maabara mbili zinakinzana kwenye majibu yao ya Australia na za hapa nyumbani. Hawakuwepo sampuli zilipochukuliwa na kuwa analysed na pia wakati wao wanachukua na kufanya analysis hapakuwa na representation kwa upande wetu kwa ajili ya ku witness.

Mkuu Unajua wengi tunaongea sana na kutoa hoja zetu.. Ukiangalia hao wanaomwakiisha Acacia wao wanajaribu kutuamninisha kuwa Walichokifanya ni sahihi.. Hakuna anayepinga.

Hizo sample specimen zao walizichukuwa zikiwa tayari kwenye Container au zikiwa bado kupakiwa? Our findings zimechukuliwa kwa kitu kilichokuwa tayari packed kwa ajili ya kusafirishwa. Hivyo na wao waombe waje wachukuwe sample kwenye packed containers na waone watakachokuta ndani kama kitaendelea kujustify their letters.

Kingine kama umemuona mmoja wapo amekuwa specific kuwa kazi yake ilikuwa kuangalia yale madini tu yaliyoppo kwenye mkataba that means hakuhitaji kuangalia vitu vingine.

Sisi our term of reference ilikuwa kuangalia ratios ya yale yaliyopo kwenye mkataba kama yanakuwa whole disclosed in term of quantity na kuangalia je Kuna madini mengine ambayo yamo na yanapashwa kuwa ya thamani kwetu.

Kwa hiyo basing to our findings- Prof Mruma Report tupo sahihi kabisa.
 
mambo ya kitaaluma yalizwe kitaaluma sio kisiasa.
proffessor lzm awe tayari kuprove walichokiona mbele ya yoyote mahala popote.
furaha ya watanzania wazalendo iko nyuma ya utafiti wa tume.
ngoja tuone vita hivi vya kitaaluma vitamwacha nani salama.
natamani taarifa za tume ziwe sahihi,but am so afraid zina walakini mkubwa na tunaweza kuja kuwa the world's laughing stock.
 
Mkuu Unajua wengi tunaongea sana na kutoa hoja zetu.. Ukiangalia hao wanaomwakiisha Acacia wao wanajaribu kutuamninisha kuwa Walichokifanya ni sahihi.. Hakuna anayepinga.

Hizo sample specimen zao walizichukuwa zikiwa tayari kwenye Container au zikiwa bado kupakiwa? Our findings zimechukuliwa kwa kitu kilichokuwa tayari packed kwa ajili ya kusafirishwa. Hivyo na wao waombe waje wachukuwe sample kwenye packed containers na waone watakachokuta ndani kama kitaendelea kujustify their letters.

Kingine kama umemuona mmoja wapo amekuwa specific kuwa kazi yake ilikuwa kuangalia yale madini tu yaliyoppo kwenye mkataba that means hakuhitaji kuangalia vitu vingine.

Sisi our term of reference ilikuwa kuangalia ratios ya yale yaliyopo kwenye mkataba kama yanakuwa whole disclosed in term of quantity na kuangalia je Kuna madini mengine ambayo yamo na yanapashwa kuwa ya thamani kwetu.

Kwa hiyo basing to our findings- Prof Mruma Report tupo sahihi kabisa.
wait a second..how do yo disclose something jhakipo kwenye mkataba?kwa faida ya nani?kama waliosaini mikataba waliona madini mengine yasiweke kwa nini leo unataka ni-disclose!!!!

hayo makontena sasa hivi hayaaminiki tena nahisi,nani anayalinda?je yakiongezewa vitu vingine?
 
natamani taarifa za tume ziwe sahihi,but am so afraid zina walakini mkubwa na tunaweza kuja kuwa the world's laughing stock.

Jamani kwani hamtaki kuamini kumbukeni.. Naomba niulize nani alishawahi kufanya kazi kwenye Maabara....?? Sehemu hawa SGS na ALS na Tume yetu walipochukua sample zipo tofauti.. Mmoja alichukuwa wakati mchanga haujapakiwa na mmoja kati ya hao alichoambiwa kukifanya kwenye mkataba nikuangalia yale madini ambayo ni payable as per contract.

Sisi through Prof Mruma aliangalia vyote, Payables na Madini Mengine kutoka kwenye Mchanga ambao upo tayari kuasafirishwa. Kwa hiyo you can sence who is right and truth
 
wait a second..how do yo disclose something jhakipo kwenye mkataba?kwa faida ya nani?kama waliosaini mikataba waliona madini mengine yasiweke kwa nini leo unataka ni-disclose!!!!

hayo makontena sasa hivi hayaaminiki tena nahisi,nani anayalinda?je yakiongezewa vitu vingine?

Kumbuka lengo ilikuwa kutaka kujua nini siri ya Kusafirisha Mchanga Nje, so we wanted to know the truth..... and We have knew the truth. Whether ipo kwa contract on not what we wanted is no tell Tanzania and the whole world kuwa kinachopelekwa Nje siyo Mchanga as we used to be told. Pia siyo kweli kuwa ratio za payable meneral zinazosemwa kwenye huo mchanga kuwa ni ndogo kama wanavyoadvocate. Pia siyo kweli other mineral are of the threshhold kiasi kwamba haya thamani as we used to be told as well.

Hicho ndicho we wanted to know na Dunia kwa Ujumla kujua. Sasa tumemshika Mchawi wasiwasi wetu nini are not still believing to this still???
 
nani analinda makontena bandari wakati yakisubiri kusafirishwa?
 
wewe unaamini kilichoandikwa na zile kamati bila kusikiliza na upande wapili?ukweli hupatikana mahakamani,ni mapema sana kuwaamini akina mruma
 
wewe unaamini kilichoandikwa na zile kamati bila kusikiliza na upande wapili?ukweli hupatikana mahakamani,ni mapema sana kuwaamini akina mruma
Mkuu Investigative Auditing siyo sawa na Statutory Auditing......... Hivyo ni vitu viwili kabisa. Investigative Auditing inasimamia vile upande wake unahitaji kuyajua ..
 
Our Team was assigned to do Investigative Auditing na ulipewa term of Reference ambazo ndizo zinazotupa sisi tulichotaka kukikujua..
 
Watanzania hatujui mengi ila ndio tunaopiga kelele sana.

Accacia imeoperate Tanzania kwa miaka mingi na ulipaji wake wa kodi ni wakusuasua mbali na mikataba mibovu tuliyoingia, ila hata kile tulichopaswa kukipata hatujakipata kama ilivyotakikana.

Kabla hatujawa wapiga kelele tujiulize baadhi ya maswali na tukipata majibu yake ndio hasa tuanze kupiga kelele tukiwa na information za uhakika.

Hawa hawa Accacia ndio miaka ya nyuma walikua wakireport loss every year na at the same time walikua wakiwalipa shareholders dividend, (tunajua dividend inalipwa out of profit made on particular year) sasa unajiuliza mtu anapataje loss alafu analipa dividend?? Hapa ni dhuluma dhahiri, alafu anakwambia Tanzania is our major business operation.

Pamoja na mapicha picha mengi hivi hatujiulizi huyu mtu report zake anatudanganya???
Hembu turudi kuangalia Management cost of Fee apart from salaries & wages, what about Director fee??
Swali la kawadia kwa ordinary person hivi unawezaje kutumia zaidi ya kile unachokipata kutoka kwenye biashara/ ajira yako kuu. Lets say unalipwa 1,000,000 kama salary Net na matumizi ya mwezi ni 3,000,000 na ajira ndio kipato chako kikuu???

Huyu huyu katudanganya kua kasafirisha makontena 44 kumbe kasafirisha 47 kwanin??

Anakuja tena kwenye records zake anasema kalipa 118 Bill kama kodi na fee za manispaa ila kucheck records kwenye government institution amelipa 42 Billions.

Every year anatutishia gold imekwisha na cost za kumaintaine the site is higher than profit actually earned. Kupunguza wafanyakazi ndio usiseme kisa eti hawezi kuwalipa, yote haya ni kuihadaa serikali ili apate kureport loss. Lakini anachokifanya ni Manipulation of figure(Creative Accounting at work).

Hivi utaendeleaje na biashara ambayo kila siku unapata hasara??

Hivi unafikiri Mwenyekiti wa Parent company (Barrack Gold) angekuja kama sio area of interest?? Waachie mgodi kama wanavyofanyiwa sio ukweli au uongo unaofanana na ukweli.

Kiuhalisia wamekua wakiuziana after every five years and we all remember that sema tunajifanya kusahau ama kupiga kelele tu aisee.

Huu mchezo hadi sasa ni wakuuangalia mwisho wake ila kuna tutakachoambulia kama Nchi.
Nakubaliana na wewe mkuu wachache ndio watakuelewa
 
wait a second..how do yo disclose something jhakipo kwenye mkataba?kwa faida ya nani?kama waliosaini mikataba waliona madini mengine yasiweke kwa nini leo unataka ni-disclose!!!!

hayo makontena sasa hivi hayaaminiki tena nahisi,nani anayalinda?je yakiongezewa vitu vingine?
yani wewe unafikiria international business zinaoperate kama vile kkoo ilo ndo tatizo lako
na sijui unajua nini kuhusu international business operations
na sijui una exposure yoyote kuhusu mineral industry duniani linaweza kua sio tatizo lako labda ni umizuka, ujuaji, maarifa nusu na udumavu, naomba usinichukulie kama nakutukana lakini ndio ukweli wenyewe.
kwanini makampuni yanakua na independent laboratory kwenye kazi zao, lengo ni kupata exactly data ya kitu kinachotakiwa, ndani ya makampuni kuna maabara zao akini aziwi validy hadi maabara zinginge independent laboratory ku verify content na hapo ni kujiridhisha kama kiwango husika cha mzigo hakizidi wala akipungui hii ni kutokana na standards za mteja wake ambae anaweza kua kampuni x basically inajikita kwa kuchenjua makanikia
kama umewahi kufanya kazi japo agency yyt ya kimataifa au kampuni za bishara za imataifa au supermarket utaelewa kwa nini watu wana dought ratio ya samples na result zilizotolewa na ma prof wetu
kila mzigo/packaged una kua proved kila mahala hadi kupata kiwango knachotakiwa, yan maabara za uku zina prove kiwango kilichopo na taarifa zinatumwa, maabara za uko nje nazo zinaverify ili kuepuka kupata loss ama fraud katika kazi zao.
kampuni ndogo ya kuuza mazbibu ya africa kusini inaoperate kiasi kwamba huwezi kuba hata zabibu moja sembuse dhahabu na makanikia
siasa katika professional ndo mazara yake haya
mtu anatoa findings kila mtu anambishia sabu hata kwa wasio na elimu wanajua huo ni uongo
mnachotaka kutuaminisha ni kwamba mzungu alivunjavunja dhahabu ili asilipe kodi na ii akifika ulaya akapate dhahabu nyingi, na faida kubwa. yani mtu ambae 95 percent ni yake bado aibe kwenye 4% tena 0.4 % ya makanikia
cant make sense
ni wajinga tuu ndo watakubali upuuzi huu
 
Mkuu Investigative Auditing siyo sawa na Statutory Auditing......... Hivyo ni vitu viwili kabisa. Investigative Auditing inasimamia vile upande wake unahitaji kuyajua ..
kwa nini tusiende mahakamani sasa ili nayo ifanye investigation ije na jibu la kweli ambalo pande zote zitaridhia
 
Watanzania bhana
... Yaani wanatamani wazungu washinde serikali ishindwe
Ndio ujue jinsi tulivyojaza mashetani nchini mwetu. Yanajifikiria menyewe coz hayana morality.
Yamesomeshwa namba sasa yanaona ni bora nchi ikose ili aibu owe kwa Rais. Kwa taarifa yenu nyie wenye vyeti feki the man is there to stay.
 
Jamani kwani hamtaki kuamini kumbukeni.. Naomba niulize nani alishawahi kufanya kazi kwenye Maabara....?? Sehemu hawa SGS na ALS na Tume yetu walipochukua sample zipo tofauti.. Mmoja alichukuwa wakati mchanga haujapakiwa na mmoja kati ya hao alichoambiwa kukifanya kwenye mkataba nikuangalia yale madini ambayo ni payable as per contract.

Sisi through Prof Mruma aliangalia vyote, Payables na Madini Mengine kutoka kwenye Mchanga ambao upo tayari kuasafirishwa. Kwa hiyo you can sence who is right and truth
Mkuu pole sana unawaelewesha watu ambao wanajua ukweli ila wanapindisha either kiushabiki( wapinzani) au mihemko.
 
Mkuu Unajua wengi tunaongea sana na kutoa hoja zetu.. Ukiangalia hao wanaomwakiisha Acacia wao wanajaribu kutuamninisha kuwa Walichokifanya ni sahihi.. Hakuna anayepinga.

Hizo sample specimen zao walizichukuwa zikiwa tayari kwenye Container au zikiwa bado kupakiwa? Our findings zimechukuliwa kwa kitu kilichokuwa tayari packed kwa ajili ya kusafirishwa. Hivyo na wao waombe waje wachukuwe sample kwenye packed containers na waone watakachokuta ndani kama kitaendelea kujustify their letters.

Kingine kama umemuona mmoja wapo amekuwa specific kuwa kazi yake ilikuwa kuangalia yale madini tu yaliyoppo kwenye mkataba that means hakuhitaji kuangalia vitu vingine.

Sisi our term of reference ilikuwa kuangalia ratios ya yale yaliyopo kwenye mkataba kama yanakuwa whole disclosed in term of quantity na kuangalia je Kuna madini mengine ambayo yamo na yanapashwa kuwa ya thamani kwetu.

Kwa hiyo basing to our findings- Prof Mruma Report tupo sahihi kabisa.
Kumbuka ACACIA wameomba huo uchunguzi urudiwe kwa kutumia huo huo mchanga uliko kwenye makontena lakini mpaka sasa serikali inaonekana haiko tayari.Swali ni je,wanahofia nini?
 
Back
Top Bottom