SGS na ALS wamekuja kusema wa makinikia

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,111
2,000
Profesa Mruma akae tayari sasa ni mpambano na the leading laboratory in the mining industry .
Hapa patam " Muda ndiyo Msema kweli"
Makontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
 
Wdl

Senior Member
Jun 2, 2017
150
250
Makontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Mada iliyoko mezani ni assay na sio idadi ya makontena against alichosema mruma.
Povu jingi au bado usingizi haujakuisha?
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,111
2,000
Mada iliyoko mezani ni assay na sio idadi ya makontena against alichosema mruma.
Povu jingi au bado usingizi haujakuisha?
SGS!!!!!!! Eti wa kuaminika mmmmmmmm. Time will tell. Tusubiri haraka ya nini owners wa barrik are no nonsense people. Hawawezi kubali uhuni uliochezwa kati Ya menejiment Ya accacia na wafanyakazi wahuni wa SGS na ALS kuwaibia both serikali ya Tanzania na wamiliki wa accacia. Stay tuned sasa hivi vikao ni kati ya walioibiwa wawili serikali ya Tanzania Na wamiliki ambao ni wanahisa. SGS na had ALS wasianze kuruka ruka kama chura aliyetumbukia kikaango cha mafuta ya moto watulie wasubiri walioibiwa wamalize mazungumzo yao
 
Feb 13, 2017
69
125
Tuache mawazo hasi. Kweli sampuli imetolewa bulyanhulu analysis imefanyiwa Australia nyumbani kwa wezi bado tunashabikia. Kuweni wapole hawa tunaenda nao taratibu .sampuli zitachukuliwa na zitapelekwa maabara na itakuwa man to man kwenye analysis na mtashuhudia majibu yatakayotoka.
 
papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
3,880
2,000
Tatizo ni namna mruma alivyo mdanganya rais, repoti ya mruma ina mapungufu mengi sana kitalaam na hasa kwenye swala zima la 'grade & metal content estimation' leo hii ukimuuliza mruma ulizipataje zile data anaweza kujikojolea na kama si kujinyea kabisa. Hata kwenye mazungumzo jamaa waki propose swala la kuchukua sample upya ukweli ni kuwa rais na nchi kwa ujumla tutaumbuka vibaya, tunacho takiwa kukifanya kwa sasa ni 'kupoteza ushaidi' fasta, hayo makinikia tukayamwage au tuwagawie wachimbaji wadogo wadogo otherwise tutakuja kudondokea puz kwa maamuzi ya kukurupuka
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,340
2,000
Makontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Sisi wananchi wanyonge tunaishi kwa makombo waliyoacha CCM baada ya kuuza/kugawa/na kupora rasilimali za nchi!! Hivi ile hoteli ya mkapa kule south Africa bado ipo? Nayo ina kinga ya kutotaifishwa? Hivi hadi leo hii serikali imeshapata clue ya mmiliki HASA wa Richmond/Dowans/Symbion?? Maana last time niliwaona hao viongozi wa serikali ya ccm wakivutwa masikio kama mazuzu!! Mzalendo Zitto Kabwe aliposisitiza kuwa tusilipe Dowans na ikiwezekana Tuifilisi kabisa kwa kuwa kwanza imeshatuibia sana na kisha pia mmiliki wake Hajulikani! Ni hayohayo matakataka ya ccm ndiyo yaliyoipinga hoja ya zitto kwa kujua ukweli kuwa wanufaika wakuu wa malipo watakayolipwa Dowans ni maccm!! Maccm yalipiga makelele yakidai kuwa Zitto haelewi Mikataba ya kimataifa! Ooh tukiitaifisha tutashitakiwa na kulipishwa mahela Mengi!! Leo yamesahau mapovu yao wenyewe! Wanaambiwa Acacia pia wanaweza kwenda mahakamani na wakatudai mahela mengi yanataharuki! "Ooh Lissu ametumwa" hebu mutuambie ni nani aliyewatuma ninyi kuwatetea majizi Dowans? Ni lissu aliyekuwa akitetea Lugumi? Ni lini magufuli amewahi kulalamikia ccm kupora Viwanja vya michezo nchi nzima? Magufuli mzalendo ndiye huyu huyu anayemkingia kifua mkapa kwa hoja ya hovyo ya "eti Ripoti haikumtaja?"! Kwa muktadha huo tu kwa nini tusiamini kuwa ripoti iliandikwa na mtakatifu mmoja kwa hisia na matamanio yake binafsi na kisha kuwapa Mitume wake kuiinjilisha? Hakuna angle ambayo unaweza kuifananisha ccm na Uzalendo!! CCM Na UZALENDO ni kama giza na mwanga!! Penye ccm hapana uzalendo! Penye uzalendo hakuna ccm!
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,958
2,000
Makontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Tutahtaji prove yakuonekana ni mengi.
 
mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,209
2,000
mambo ya kitaaluma yalizwe kitaaluma sio kisiasa.
proffessor lzm awe tayari kuprove walichokiona mbele ya yoyote mahala popote.
furaha ya watanzania wazalendo iko nyuma ya utafiti wa tume.
ngoja tuone vita hivi vya kitaaluma vitamwacha nani salama.
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,340
2,000
SGS!!!!!!! Eti wa kuaminika mmmmmmmm. Time will tell. Tusubiri haraka ya nini owners wa barrik are no nonsense people. Hawawezi kubali uhuni uliochezwa kati Ya menejiment Ya accacia na wafanyakazi wahuni wa SGS na ALS kuwaibia both serikali ya Tanzania na wamiliki wa accacia. Stay tuned sasa hivi vikao ni kati ya walioibiwa wawili serikali ya Tanzania Na wamiliki ambao ni wanahisa. SGS na had ALS wasianze kuruka ruka kama chura aliyetumbukia kikaango cha mafuta ya moto watulie wasubiri walioibiwa wamalize mazungumzo yao
Hahahahaaaa! Mumeanza kutafuta urafiki na wezi!! Lini na wapi mulisikia Barrick wakilalamikia kuibiwa na acacia? Kweli mfa maji haachi kutapatapa!
 
Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
2,570
2,000
SGS!!!!!!! Eti wa kuaminika mmmmmmmm. Time will tell. Tusubiri haraka ya nini owners wa barrik are no nonsense people. Hawawezi kubali uhuni uliochezwa kati Ya menejiment Ya accacia na wafanyakazi wahuni wa SGS na ALS kuwaibia both serikali ya Tanzania na wamiliki wa accacia. Stay tuned sasa hivi vikao ni kati ya walioibiwa wawili serikali ya Tanzania Na wamiliki ambao ni wanahisa. SGS na had ALS wasianze kuruka ruka kama chura aliyetumbukia kikaango cha mafuta ya moto watulie wasubiri walioibiwa wamalize mazungumzo yao
Tokea niione ile video ya mwana uvccm mmoja iliyowekwa humu JF na JokaKuu nimewadharau sana nyie vijana. Kumbe ni wepesi, hamjui kitu tena ni mbumbumbu kabisa wa mambo.
 
iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,440
2,000
Tatizo ni namna mruma alivyo mdanganya rais, repoti ya mruma ina mapungufu mengi sana kitalaam na hasa kwenye swala zima la 'grade & metal content estimation' leo hii ukimuuliza mruma ulizipataje zile data anaweza kujikojolea na kama si kujinyea kabisa. Hata kwenye mazungumzo jamaa waki propose swala la kuchukua sample upya ukweli ni kuwa rais na nchi kwa ujumla tutaumbuka vibaya, tunacho takiwa kukifanya kwa sasa ni 'kupoteza ushaidi' fasta, hayo makinikia tukayamwage au tuwagawie wachimbaji wadogo wadogo otherwise tutakuja kudondokea puz kwa maamuzi ya kukurupuka
Mimi nadhani ile ripoti iliandaliwa kwa pamoja na mzee makinikia mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom