Daniel son
Member
- Jun 6, 2017
- 24
- 23
Mliwafuga kwa niniWatanzania bhana
... Yaani wanatamani wazungu washinde serikali ishindwe
Mliwafuga kwa niniWatanzania bhana
... Yaani wanatamani wazungu washinde serikali ishindwe
Elimu ndogo ni mbaya kuliko kutokuwa na elimu kabisa?SGS!!!!!!! Eti wa kuaminika mmmmmmmm. Time will tell. Tusubiri haraka ya nini owners wa barrik are no nonsense people. Hawawezi kubali uhuni uliochezwa kati Ya menejiment Ya accacia na wafanyakazi wahuni wa SGS na ALS kuwaibia both serikali ya Tanzania na wamiliki wa accacia. Stay tuned sasa hivi vikao ni kati ya walioibiwa wawili serikali ya Tanzania Na wamiliki ambao ni wanahisa. SGS na had ALS wasianze kuruka ruka kama chura aliyetumbukia kikaango cha mafuta ya moto watulie wasubiri walioibiwa wamalize mazungumzo yao
kwani test tubes walizopikia hiyo michanga na solutions ni tofauti?Profesa Mruma akae tayari sasa ni mpambano na the leading laboratory in the mining industry .
Hapa patam " Muda ndiyo Msema kweli"
That is your opinion. Ungesema wachukue sample nyingine na wapime tena pamoja kwenye maabara zetu ili kuondoa utata.Too low
Wako desperate. Sasa hivi wanajaribu kudandia kila linalojitokeza. Mara njaa, mafuriko, misiba...sioni picha baada ya 2020 watakuwa na hali gani.Eti hili sakata limegeuzwa kete ya kisiasa. Tumerogwa sie
It is not bias but these people have committed offences- not registering Accacia in Tanzania, loading more containers on ships than those declared etc. These two offences have resulted in evasion of fees, royalties and taxes. Tutawaaminije?Sio kuwa tunatamani sisi tushindwe. Tunataka ukweli ujulikane. Hta mahkamani huwa wanasikiliza pande mbili.
Hapa hatupashwi kiwa biased