SGR pamejaa dini pendwa?

SGR pamejaa dini pendwa?

Kwenye wizi nako kuna dini Mkuu? Wizi hauna dini usijidanganye. Kama watu wametafutiwa kazi wacha mambo yaende tu. Lakini uadilifu kazini ni sheria na sio dini Mkuu. Hakuna wakati hii nchi imepigwa kama wakati wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia. Wakati wa Nyerere, Mkapa na Pombe haikua hivyo
Peleka upuuzi wako wa kikatoliki kwa tec wautolee tamko
 
Peleka upuuzi wako wa kikatoliki kwa tec wautolee tamko
Wizi hauna dini Mkuu, binaadamu ni yule yule. Sheria zikiwa kali kila mtu ananyooka. Ufisadi na wizi unaofanyika saudia unaujua?! Usiwe mdini Mkuu
 
Mi nimewazidi akili.., elewa hivyo tu..,
Umejuaje kua umewazidi akili? Umetumia criteria gani?

Wewe unajuaje kua una akili? Nani amekupima hiyo akili? Kipi kinachokufanya wewe useme kua umewazidi akili? Umewazidi kwenye kitu gani kwa kutumia hiyo akili yako?
 
pumbavu, watumwa huwa hamuachi kujivunia ufahari wa watwana wenu, unajivunia utajiri wa waarabu/wahindi kwa kuwa ni waislam wenzako, shame on you
 
Kwahiyo ulitakaje? Kwenye ofisi yangu nimejaza wakristo lakini wengi wao ni majizi tu. Kuna makampuni ya wakristo sehemu nyeti wanawaweka Waislamu hivi hujiulizi tu why!!
Hayo makampuni wanakosea sana kuukaribisha USHIRIKINA kwenye makampuni yao.
 
pumbavu, watumwa huwa hamuachi kujivunia ufahari wa watwana wenu, unajivunia utajiri wa waarabu/wahindi kwa kuwa ni waislam wenzako, shame on you
Wewe binti acha kujitongozesha kwangu,acha kujipitisha huku unanitingishia hivyo vikalio vyako,acha shobo,huyo niliyemquote unajua mjadala umeanzia wapi?

Usione comment ya Mwanaume lazima ujipitishe huku unatingisha chuchu.
 
bado hujakoma tu we mshangazi mkomavu?
 
Back
Top Bottom