Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 11,508
- 5,381
Kobaz samuya anawatafutia kesi tu.
Nyinyi wavalisha pampers anawatafutia visiki ??
Kobaz samuya anawatafutia kesi tu.
kwani hao wengine kuanzia baba yenu aliyewazaa Laanatullahi Nyerere wameleta nini huku Zanzibar , si watu waliuliwa tokea 1964 na kwengine mpka leo hawajulikani walipo na kwa maelfu wamekimbilia nchi za njeWa Zanzibar walituletea mtu tanganyika akaleta uzuni kwenye familia nyingi. Hatuwaamini tena.
We nae hujitambui sema leo sina mzuka wa kupalangana na mtu kabisa.Nyinyi wavalisha pampers anawatafutia visiki ??
upandishe tu kama pale ulivyoandika mwanzoWe nae hujitambui sema leo sina mzuka wa kupalangana na mtu kabisa.
Ngoja nimalizie mishe zangu kwanza, uniite hapa ifikapo saa 1 unusu ndo nikusikilize utoporo wako.upandishe tu kama pale ulivyoandika mwanzo
Hii ilikua njia ya kuwadhibiti kobazi wasijenge shule Ili wadhibitiwe kupitia shule za serikali, ndiyo maana uhuru hadi 1988 wizara ya elimu ilikua himaya ya kanisa na matokeo ya mitihani ni Siri kama nyeti za mkweNyerere alitaifisha shule zote za makanisa ili kobazi waliokuwa wanakataa kupeleka watoto shule wawapele pasina hivyo mpaka leo jiamii ya kobazi ingekuwa na watu wachache sana(bado ni wachache by comparison) waliosoma, colonial era 'ilmu dunyaa' iliyolewa zaidi na makanisa na the other side ilikuwa ni 'ilmu akhera' tu nothing more and nothing less.
Hiyo mikoa uliyoitaja ndiyo Nyerere aliibana mno eti kuweka balance kwa kuwa ndiyo ilikuwa na wasomi wengi, alilazimisha kuweka balance ambayo inaligharimu taifa mpaka leo.
Nakutakia heri katika mahangaikoNgoja nimalizie mishe zangu kwanza, uniite hapa ifikapo saa 1 unusu ndo nikusikilize utoporo wako.
Utakua msabato au Anglican, wakatoliki ni wadini kufuru,wao huangalia dini kila sehemuAsee Watanzania ni wabaguzi sana. Binafsi mi ni mkiristo lakini sijawahi kuzingatia kama Kuna idadi kubwa ya watu wa dini flani sehemu flani!
Leo ndo mnaanza kunishangaza ofsini yangu boss wangu ni muislamu but kwa umri wangu sijawahi kusikia akihubiri au kutunyanyasa kwa dini zetu.
Hili linatoka wapi?
Mtanganyika hata makachu aruhusiwi kuruka.Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
😃😁🙆♂️👄Utakua msabato au Anglican, wakatoliki ni wadini kufuru,wao huangalia dini kila sehemu
Nchi NgumuAiseeeee
Mkuu una data?Si kweli enzi za Dau ,wagalatia,watesolonike na wakorontio walikuwa wachache sana ,makobazi na hijabu zilikuwa za kutosha.
Kwenye wizi nako kuna dini Mkuu? Wizi hauna dini usijidanganye. Kama watu wametafutiwa kazi wacha mambo yaende tu. Lakini uadilifu kazini ni sheria na sio dini Mkuu. Hakuna wakati hii nchi imepigwa kama wakati wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia. Wakati wa Nyerere, Mkapa na Pombe haikua hivyoHata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
Lakini ndio wanao ongoza kwa kulipa kodi na kwa utajiri,Eti za kutumia akili na nguvu 😂😂
Jamaa akili hawana, halafu nguvu pia hawana, kazi kula urojo vibarazani tu…