SGR pamejaa dini pendwa?

SGR pamejaa dini pendwa?

Kwahiyo ulitakaje? Kwenye ofisi yangu nimejaza wakristo lakini wengi wao ni majizi tu.
Hao hao majizi ndio wanaokuingizia faida kubwa sababu wanatumia akili kubwa ndio maana umewakubari hata km wanakuibia huwafukuzi unajua ukijaza madufu utavuna madufu
 
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Mlizoeshwa na yule mpumbavu nyerere kuwa kila kazi ziwe za wagalatia kwa kuanzia na kuminya watoto wetu mashuleni kwenye mitihani, na kweli ilikuwa kila ofisi ni mgalatia, sana kibao kimegeuka baada ya janja ya nyani kushtukiwa, lakinin bado unamatumaini katafute kazi Bukoba, Kilimanjaro na Mbeya watakukupa kwa kuwa ni mgalatia mwenzao
 
Kwani dini pendwa ni ipi?
Screenshot_20260203_185417_Chrome.jpg
Screenshot_20260203_185255_Chrome.jpg
 
Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
Tatizo kule taifa la Zanzibar haiwezekani Mtanganyika kupata opportunities kama Mzanzibari anazopata bara, mimi hata wajazwe wa dini yoyote au kabila lolote la Tanganyika kama nafasi zilipambaniwa with transparency I don't mind.
 
Mlizoeshwa na yule mpumbavu nyerere kuwa kila kazi ziwe za wagalatia kwa kuanzia na kuminya watoto wetu mashuleni kwenye mitihani, na kweli ilikuwa kila ofisi ni mgalatia, sana kibao kimegeuka baada ya janja ya nyani kushtukiwa, lakinin bado unamatumaini katafute kazi Bukoba, Kilimanjaro na Mbeya watakukupa kwa kuwa ni mgalatia mwenzao
Nyerere alitaifisha shule zote za makanisa ili kobazi waliokuwa wanakataa kupeleka watoto shule wawapele pasina hivyo mpaka leo jiamii ya kobazi ingekuwa na watu wachache sana(bado ni wachache by comparison) waliosoma, colonial era 'ilmu dunyaa' iliyolewa zaidi na makanisa na the other side ilikuwa ni 'ilmu akhera' tu nothing more and nothing less.
Hiyo mikoa uliyoitaja ndiyo Nyerere aliibana mno eti kuweka balance kwa kuwa ndiyo ilikuwa na wasomi wengi, alilazimisha kuweka balance ambayo inaligharimu taifa mpaka leo.
 
Back
Top Bottom