Kongosho hata mm nimeshaelewa lakini hii ya kukutana wawili tena peke yenu katika cabin ya lift hapa ndio boss kasema SEXUAL TENSION enzi zangu za 47 kina dada walikuwa wanachora chini kwa mguu na kuuma kuchaNow I get you
Kama ni kazini, inabidi uact kikazi zaidi
Na kupunguza kuwa karibu bila sababu za msingi
Mfano kama ni Mwalimu na mwanafunzi, ni kuepuka kukutana nje ya darasani
Haya nsio mazingira hupelekea kutokea yaliyompata miss strong
Kunakuwa na tension afu huchukui hatua
unaweza zungumza na mumeo wa dada yako mfano?
suppose na wewe ume feel kitu kama yeye?
cc Kongosho...
Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
msimu huu? upi?
Nahisi vifuatavyo vinaweza saidia The Boss
1: Kama mlikuwa mnawasiliana sana punguza mawasiliano na huyo mtu
2: Kama ilikuwa stori zenu au mawasiliano yenu yanapelekea kuongeza vichocheo/hamasa, badili namna ya kuwasiliana kwa kuandika au kupiga stori ambazo hazitopelekea hiyo hali
3: Kama mlikuwa na kawaida ya kukaa wawili tu faragha, liepuke hilo
4: Ikishindikana kuepuka la namba 3 hapo juu, basi jitahidi kuwa busy na kitu kingine mfano simu badala ya kuweka attention kwake
5: Akianzisha maongezi ya kimapenzi, mpe habari za mpenzi wako kwa kumueleza tu ni jinsi gani unampenda na kumthamini, ana thamani gani katika maisha yako au anakufurahisha kiasi gani kwa kuwa nae
6: kila ukitokewa na hali hiyo, rudisha akili yako kwamba hiyo ni dhambi, so huna budi kuiepuka
ahahhahahahhahhaha wewe!:faint:Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
ahahhahahahhahhaha wewe!:faint:
Mmmh.... Hii kitu ngumu sana na imeshawahi kunikuta..!
Yaani ilikuwa namkemea shetani lakini nikimuona mhusika moyo unapasuka paaaah..!!
Akinipa mkono kunisabahi nilikuwa nahisi kama nimepigwa shoti ya umeme kumweleza asinipe mkono nashindwa..!!
Hata na yeye nilivyomsoma moyo wake ulikuwa unampasuka pia lakini hakuweza kutamka chochote..!!
Mungu bariki yule Boss alihamishiwa Mkoa mwingine hiyo ndio ikasaidia, vinginevyo ningesema LIWALO NA LIWE.. Hahaa