Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Well sasa hivi ni starehe kama wengine...ila tusingekua tunaifurahia nadhani wangekosa sababu..sasa sijui ingekuaje kwa upande wao!!
Tukichukua dhana ya kuwa viumbe hai wameubwa na Mungu (sio evolution), ni rahisi kuona kuwa Mungu ameweka staarehe kwenye ku-sex kama alivyoweka staarehe nyengine katika vitu vya lazima.
Staarehe katika kula ni mfano mwengine wa hekima za Mungu katika suala zima la kutulazimisha 🙂
Ili kuhakikisha watu wanazaliana, unalazimika kuweka incentives kuwafanya wafikie kwenye kitendo cha kuzaliana-sex
Jee staarehe kwenye sex ni njia ya kuturubuni kuzaliana?