Sex... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sex...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Jul 6, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: “Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?“

  Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.

  Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
  2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
  3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
  4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Under 18, napita tu.......
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Lizzy @ work.......khaa!
   
 4. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nawaza, mashoga wanafanya kwa lengo gani?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  wifi umeamkaje? msalimie kaka,lol! muambie asilete za evolution, siku hizi tunaongelea ovulation:mimba::mimba:
   
 6. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Dhana inayotangulia ni matamanio, kuzaliana ni matokeo na dhana ya baadaye. Ni ngumu kutanguliza dhana ya kuzaliana kwasababu nature ya matamanio ndiyo inatawala. Kijana anaye balehe na binti aliyepuvuka wapo tayari kuruka kuta za umeme na kukoswa koswa na mishale si kwasababu wana dhana ya kuzaliana bali nguvu ya matamanio ndio tawala.

  Bado watu wangehangaika kwasababu matamanio ni nature ya kwanza.

  Hili la kuridhisha mimi nalichukulia kama sababu ya kuhalalisha tendo isivyohalali. Mwanamke anapokwenda nje na jamaa mmoja kwa mwaka mzima au miwili alikuwa na darubini gani kujua huko aendako kuna faraja! kizazi hiki cha sasa kinaifanya hoja ili itoe uzito wa 'uhalifu' na kupata sympathy.Haiwezekani mke kajifungua halafu mwanaume anatoka nje ya ndoa kwasababu mama ananyonesha, halafu tuseme ni sawa.
  Kwanini suala la kuridhika liwe kwa wanawake na sio wanaume. Mume akilalamika kikapu ni kikubwa je inajenga uhalali wa yeye kuchomoka nje.

  Kupungua kwa nguvu za kiume kuna sababu nyingi sana na sidhani ni matokeo ya kazi mfululizo tu.

  Kama kuna kitu kinaushawishi wa ajabu sana ni sex na sijui ni kwanini. kama dhana ya kuzaliana ingekuwa na nguvu zaidi ya matamanio, basi wale vongozi wa kiroho ambao hawahitaji kuzaliana wasingeangukia katika mtego huo.
  Kwa dunia ya leo tusingeona 'vurugu' tunazoziona bila woga achilia mbali mimba.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lizzy ........Malezi
  Kama tungelelewa ndani ya dhana hii basi tungekuwa hivyo ilivyotegemewa. Chukulia jamii ya kikurya ambao mojawapo ya sababu za kukeketa watoto wa kike ni kuwaondolea ashki! Isipokuwa kwa kuwa tume'amshwa' na theories nyingine kama ilivyokuwa theory ya evolution then people started to define sex in other way.......wanawake wakajulishwa haki zao katika tendo zima na hapo kuwaforce kuanza kuzidemand including kulalamika au kutafuta wa kumfikisha.

  Hayo maswala ya kutoa mimba ni ukosefu wa maadili (kama tukifuata hiyo theory) wao wanachoangalia ni creation ya mtoto thats it.
  KUhusu kutafuta nje kwa mwanaume ilionekana sawa kwa sababu the same theory inamdefine mwanaume kama head of reproduction- so if the reproduction is important and necessary to the society, hata akitoka kwenda nje hana kosa- he is just excersizing his 'uanaume' and he will be praised. Mengine yote ni ubatili mtupu

  Lol aliyeivumbua theory hii must be mwanaume LOL
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  Mwanangu Lizzy, umeamka nalo, pole sana.
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,203
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Lizzy umenifanya nitulize akili yangu na kutafakali kwa kina sana!
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Kifupi Lizzy, yote hayo yasingekuwepo kama dhana ingekuwa ni kuzaliana tu.
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  una lako jambo haiwezekani ubold sex for reproduction only.
   
 12. charger

  charger JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ungependaje LIZZY utaratibu ungekuwa mwingine labda ujauzito upatikane kwa kusalimiana (kushikana mikono) ingenoga kweli? So far only human and dolphins are the only species that have sex for pleasure.

  Ndio hapo ujue kuna Mungu,we angalia kuku mi hata sielewagi wanavyo do na kupeana mimba.
   
 13. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndio tofauti kati ya mnyama na binadamu!! Mbwa, au Ng'ombe kwa mfano hawafanyi hiyo kitu bila kuwa kwenye tarehe zitakazoruhusu Mimba kutungwa. Ndio mwisho wao wa kufikiri huo. Lakini kutokana na uwezo mkubwa alopewa binadamu wa kutawala mazingira na vyote vilivyomo ndio maana tumegundua kwamba haya Majitu tulowekewa yanaweza kutupa burudani ya pekee na ndivyo ilivyo. Au unabisha? Wewe hujagundua hilo? Kama hujapata wa kukuthibitishia hilo kwa matendo.... nitafute.
   
 14. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  for sure,kama lengo lingekua ni kuzaliana pekee, kwa ninavyofikiri, hayo mambo mengine yasingekuwepo! Daaah!
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na hoja hii pia.....binadamu tumetofautishwa na wanyama kwa kupewa utashi (intellectual ability) na hii inajumuisha pia dhana ya kuchukulia tendo la ngono kama zaidi tu ya kitendo cha kusababisha uzao...ni mojawapo ya starehe alizotupa Muumba kwa wale wanaostahili,
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu mi naona bora uvumilie mpka utakapo oa..
   
 17. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  That is why I like JF...everybody is busy reading something! Mimi ninachojua kuhusu sex is simple...we can't live without it.
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  seksi.....!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  interesting indeed,

  mwaka 1988 wakati najifunza baioloji... nilisoma mengi yenye maswali, mwaka 1995 wakati nasoma physiology, pia niliona mengi yenye maswali

  My comment ni - philosophers, scientists and great innovators have always been very creative "to reach God's capacity", which will never happen.

  Sex and sexuality, orgasm, reproductivity etc roll as you want them to when it comes to thinking, its like rolling dices for those who like related games.

  I wouldnt dwell much coz if we want to be rational, then we would ask zimmer about wet vagina, deep situated ovaries, menstrual cycle with blood, primitive situating of testicles outside the body (knkowing the delicacy and sensitivity), women breasts and role in sex, fellatio, cunnilingus, pregnancy etc

  Once you swim in theorists and "innovators" you are bound to clash with lots of reality

  The choice is yours

  I love sex to the core, and no matter how primitive and "defunct" it is, i would not trade it with any pleasure in this world!!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pal.... sex is sex, as good as it gets, it leaves desire for more and questions without answers

  Ukisoma sana historia ya wanasayansi wa kale, utagundua kwamba sexuality ya most reckoned scientist ilifanana sana na designers wa siku hizi... and back then homosexuality was a super crime (not even a sin) kwahiyo wengi walitumia lots of their innovation and imagination to disguise sexuality, and in some extreme cases to disguise creation and God in general
   
Loading...