Sex...

Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: "Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?"

Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.

Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!

Sex ikishakuwa kwa ajili ya kuzaliana tu basi tabia zoote za wanyama pia zinachukua mkondo wake....kupandana hadharani, kupanda yeyote, kupanda wa mwenzio

Maisha yangekuwa na mwanga bora zaidi..........maisha bila kingo
 
Sex ikishakuwa kwa ajili ya kuzaliana tu basi tabia zoote za wanyama pia zinachukua mkondo wake....kupandana hadharani, kupanda yeyote, kupanda wa mwenzioMaisha yangekuwa na mwanga bora zaidi..........maisha bila kingo
Mmmh kwaninj udhani ingekua hivyo?‘
 

...eeehhh? anikimbie kwanini tena, kwani yeye hana haja ya mtoto?
mbona mwan'tisha sasa?...najifunza hapa jamani,...basi nahitaji tuition na
mwalimu!
Vyote anataka,,, sio awe kizalio tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sexy is overrated! I hate it Nina mwaka wa Tisa without doing. I can declare I'm a virgin
 
Sex ikishakuwa kwa ajili ya kuzaliana tu basi tabia zoote za wanyama pia zinachukua mkondo wake....kupandana hadharani, kupanda yeyote, kupanda wa mwenzio

Maisha yangekuwa na mwanga bora zaidi..........maisha bila kingo
Thats my boy

Umekua filosofa wa kale

short and clear

aisee
 
Back
Top Bottom