Serukamba ana malengo mawili katika mstakabali wa IPTL

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Serukamba ajipendekeza kwa zito amwachie Jimbo kwa sababu kigoma mjini hawamtaki kwa kuwalazimisha wampe EL kura wakati anaefaidika na pesa za zakaria za kukwepa kodi ni yeye! Na lengo la pili kuhakikisha EL aningia ikulu ili apate namna ya kurudisha pesa anazopewa na wadhamini wake!
 
Upuuzi mwingine huu hapa
 
Mtajua wenyewe na siasa zenu za maji taka.
 
Serukamba ajipendekeza kwa zito amwachie Jimbo kwa sababu kigoma mjini hawamtaki kwa kuwalazimisha wampe EL kura wakati anaefaidika na pesa za zakaria za kukwepa kodi ni yeye! Na lengo la pili kuhakikisha EL aningia ikulu ili apate namna ya kurudisha pesa anazopewa na wadhamini wake!
Mkuu Zakaria yupi, yule wa Tarime?
 
Serukamba ajipendekeza kwa zito amwachie Jimbo kwa sababu kigoma mjini hawamtaki kwa kuwalazimisha wampe EL kura wakati anaefaidika na pesa za zakaria za kukwepa kodi ni yeye! Na lengo la pili kuhakikisha EL aningia ikulu ili apate namna ya kurudisha pesa anazopewa na wadhamini wake!

Hizi juhudi za kuchamba kinyesi cha kipindupindu ingependeza zaidi mzifanyie kwa wahusika wa Dodoma hapa mnjisumbua tu
 
Zitooooo
 
Attachments

  • 1416944552896.jpg
    1416944552896.jpg
    33.6 KB · Views: 221
Back
Top Bottom