Serious sick...

Serious sick...

Usijali my daughter, daddy na familia yake yote watamkumbuka kwa maombi mkwe wangu!!
 
Usijali tutamuombea uncle, Mungu ni mwema kwetu sote atapona!
 
Pole sana charminglady mwambie anko kuwa ugonjwa ni mtihani .
 
Last edited by a moderator:
Get well soon Mjomba..... Usijali charminglady. Mungu atamponya... Fikisha pole salamu zangu za pole kwa wote
 
Last edited by a moderator:
get_well_soon_uncle.jpg

tafadhali sana mpe hii
 
get well soon mjomba! inshaallah mtihani huu utafaulu....
 
Napenda kuwashukuru wote kwa maombi yenu.. Mungu ni mwema..

Sasa anaendelea vyema... Hali ya jana illikuwa ya kukatisha tamaa..
 
Back
Top Bottom