Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
Bora yangu mie niliamua kuwa fagasoni, nampanga nayemtaka kwa matokeo nayoyataka kwa wakati huo.
Post of the year....utajuta mi kusoma hii post leo Kongosho....muone kwanza.....!!
Bora yangu mie niliamua kuwa fagasoni, nampanga nayemtaka kwa matokeo nayoyataka kwa wakati huo.
navokuona hata bure sitokuchukua
hata wachina wapoNitameza kidonge cha mchina mama
Halafu rafiki ndio ushauri gani huo ni wewe kweli?
umeona eeeh nyie wapuuzi tu
She needs to know who she is first. Meaning what her morals are, what she wants in life, where she sees herself in the next 10 years, etc.
Once she gets that clarity of purpose then she can set her standards. After standards are set then she can start looking for her prince charming/ mr. serious who meshes well with her established values.
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!
kama anam-hunt kama swala
Asije tu akatumia mkuki wake, atamuua kabla ya ndoa.
whoever ,whereverUnajua chauro
hawa watoto wanajikanganya sana
Anataka kuolewa halafu hajui anataka kuolewa na mtu wa aina gani
Sijui anataka bora mwanamme?
Leo umeachwa, kesho unatangaza ndoa
Hainingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivi.
Post of the year....utajuta mi kusoma hii post leo Kongosho....muone kwanza.....!!
hata wachina wapo
Dada polepole, matusi hayo...sie wapuuzi? Kwa lipi hasa wakati dogo mwenyewe machepele, umeona ''archive'' ya mambo yake DenaAmsi kaiweka hapo juu? Unategemea nini hapo kama sio kuchapa na kulala mbele....ofcoz mwanzoni lazima uzugu kufa na kuzikana ili akupe yote....!
Loh!! Vipi ndio sio vya kawaida?
Mwenye viwango vilivyotimia hahitaji kujipigia promo
OTIS
Now the big issue. . . where is she supposed to look?
kweli utu uzima dawa atiii.....Ukifika miaka zaidi ya 35
Hiyo kitu hatuifichi ivo
Huko hospitali vitoto vidogo tena vivulana vinafanyia mazoezi ya kuzalisha
Vinazunguka hata 4, kila kimoja kinataka kushika, na kinashika.
Sasa si bora uwape wanaoshikwa kwa raha zenu wote.
A serious man is not found by posting posts in JF.
Mkuu nyani!! A serious Man doesnt come from Mars!! he is right here on earth, and remember! This is Dot Com generation so He can be here dude!! trust me or not...