Serikali yashusha bei ya sukari mpaka Tsh 1,800/=

Wewe punguani kweli siku zote tabia za mashoga ni kurukia kila jambo swali umeulizwa wewe au unatafuta baasha kwa nguvu.
Wewe hata uandike nini lakini uhalisia uko wazi siku hizi AKILI HAUNA na ni wazi uliokuwa ukiwategemea wakuweke mjini wametumbuliwa na leo MAKAHABA yanatafutwa na kukamatwa kwa hiyo sijui utaishi vipi mjini.
 
Hao walikua wanauza kwa ujanja wapate faida kubwa, ila walikua wananunua bei rahisi, hata wakiuza 1800 faida ipo. Hakuna excuse yeyote walizoea kutulangua
Ndugu sio unaandika tu ili kujifurahisha uonekane na wewe una akili, kwa sasa mfuko wa sukari Kg.25 kwa bei ya jumla unauzwa tshs. 47,000/= ambayo ni sawa na Tshs. 1,880/= kwa kilo sasa ebu tafakari hicho ulichokiandika unaposhabikia muuzaji wa rejereja auze 1,800/= je ni halali?
 
Aliekuuzia huo mfuko bei hyo katoa wapi? Hiyo sukari kiwanda gani hapa nchini kimemuuzia kwa bei hyo, tusidanganyane bana
 
Aliekuuzia huo mfuko bei hyo katoa wapi? Hiyo sukari kiwanda gani hapa nchini kimemuuzia kwa bei hyo, tusidanganyane bana
Wewe nafikiri ni kula kulala haujui chochote juu ya maisha yanavyokwenda ni bora ukae kimya usijadili chochote juu ya hili la bei ya sukari kwani hakuna unachokijua.
 
Wafanya biashara bana...mwisho watakwambia wana stock ya miezi miwili...ili tu wamlangue mlaji...
 
Safi.

Wale waliokuwa wanasema sukari itapanda bei maradufu, baada ya Rais kuzuia uingizwaji wa bidhaa ya sukari kutoka nje ya nchi, wako wapi sasa?

Msipende kupinga.

Mnapoona jambo la maendeleo/kimaendeleo wekeni tofauti zenu za kisiasa kando,

Na tushirikiane kwa pamoja.

Ma, Magufuli
 
Tumpe Muda Mh. JPM Mambo Yatakaa Sawa Tu Coz Kwa KipindinKifupi Tu Alichokaa Madarakani Hata Mafuta Yameshuka.

Kimsingi Huwezi Kupandisha Au Kushusha Tu Bei Ya Bidhaa Bila Kufanya Utafiti Wa Kina. Unaweza Ukashusha/Kupandisha Ukajikuta Umezidisha Kiwango Upande Mmoja Ukaumia Sana, So Ni Bora Mambo Haya Yakaenda Kwa Polepole Lakn Kwa Uhakika Ili Kuondoa Matatizo Na Malalamiko Kwa Wadau.

MAGUFULI JEMBE, WANAFIKI WANAMCHUKIA LAKIN WANAMKUBALI.
kasim majaliwa "amewaomba" wafanyabiashara wauze sukari kwa bei elekezi ya 2300!aliyasema hayo jana
 
Bei Ya Sukari Imepanda Tena Hadi Kufikia Tsh 2800/- Serikali Ya Viwanda Ipo Wapi ?
 
Back
Top Bottom