hebu nikuulize ni vipi cement dar iuzwe elfu 11, mtwara elfu 13 na mwanza elfu 18, basi waweke elfu 13 nchi nzima kuanzia dar hadi tunduma.Wabongo kwenu hakunaga jema kutwa lawama hata mlambwe makalio ....sasa ww unatakaje kwa mfano?

Kama kuna kuharufu ka kiroba basi UKAWA wameitemea mate!
Wabongo kwenu hakunaga jema kutwa lawama hata mlambwe makalio ....sasa ww unatakaje kwa mfano?
Soma kichwa cha habari ya mada.Badala ya kujikita kwenye hoja iliyoko mezani unaanza kuleta porojo za kisiasa.
Hoja iliyoko mezani ni price capping ya sukari. Kama unataka tuanze kujadili hoja ulizozileta, fungua Thread/Mada nyingine ili tuanze kujadili.
Karolaitunamaanisha mafuta ya kula?
hiyo bei umepigwa........Wakumbuke lakini na kutoa bei elekezi ya jumla pia,kwa kuwa hapa dsm sukari ya 50kg inauzwa 95,000-94,000 kwa bei ya jumla,sasa ukiuza kwa 1800@kg utapata Tsh 90,000.sasa hiyo itakuwa ni biashara kweli au msaada.
inaweza geuka machozi ya simba ukadhuru wanao bure,nanusa kuadimika kwa sukari sokoni..Ngoja nikanunue ya kutosha kwa miezi sita niweke nyumbani kwangu
nasikia Karolait hayana soko siku hizi tangu utaalam wa kunywa maji uingie...Karolait