Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Jografoa?Ok, imekaa vema. Hata hivyo makampuni wazalishaji wajitahidi kuisambaza. Isije ikatokea kukawa na upungufu kwa baadhi ya maeneo. Kwa mfano, bei ya sukari eneo lenye barabara inayopitika kwa shida kipindi cha masika inaweza kuwa na changamoto, na ukizingatia jografoa ya nchi