Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,877
- 11,562
Soma vizuri umeambiwa nchi nzima.hivi ni uvivu wa kusoma au?usikurupuke kuchangia bila kusoma.Je bei hiyo ni kila mkoa na mji au kwa mikoa jirani na Kilimanjaro, Morogoro na Kagera tu? Bei elekezi haijafafanua jambo hilo?