Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Wafie tu huko jela, hawana umuhimu wowote! Wanafuja tu ruzuku

Ni kweli ulichosema mkuu kwani hawa wanaona kabisa mkia wa mbuzi huooo halafu eti wanauliza naniiii iko wapi kama sio upopoma ni kitu gani? kwa ujumla viongozi wote wa vyama vya upinzani vya leo sio wabunifu na inabidi sasa waondolewe haraka sana waje watu wapya ambao ni creative ili waende sambamba na changamoto zinazojitokeza
 
Kama mahakama ya rufaa imetoa hukumu ya hovyo kiasi hicho, uongozi mzima wa CHADEMA wenye kesi mahakamani Kisutu unakwenda kufia jela.

Imani kwa Mhimili wa Mahakama inazidi kuwa ndogo.

Muda ni mwalimu mzuri
Mkuu ni kweli imepangwa uongozi wote wa Chadema ufungwe jela , hii ni kutokana na maagizo ya Jiwe kwa Mahakama , imevuja tayari , ila kuna viongozi wastaafu wanajaribu kuokoa jahazi , kiukweli ni kama hakuna tena Mahakama nchini Tanzania.

Unajua kulikuwa na Mpango pia wa kuwafunga wale wastaafu wa ccm kwa uhaini ( rejea clip za cheusimangara ) , lakini wakatonywa kuandika waraka ule ili dunia ifahamu , mambo ni mengi sana bali nikuhakikishie kwamba kwa mara ya kwanza Tz inaingia kwenye vita
 
Mkuu ni kweli imepangwa uongozi wote wa Chadema ufungwe jela , hii ni kutokana na maagizo ya Jiwe kwa Mahakama , imevuja tayari , ila kuna viongozi wastaafu wanajaribu kuokoa jahazi , kiukweli ni kama hakuna tena Mahakama nchini Tanzania.

Unajua kulikuwa na Mpango pia wa kuwafunga wale wastaafu wa ccm kwa uhaini ( rejea clip za cheusimangara ) , lakini wakatonywa kuandika waraka ule ili dunia ifahamu , mambo ni mengi sana bali nikuhakikishie kwamba kwa mara ya kwanza Tz inaingia kwenye vita
Shida zitakuwepo lakini sisi hatutaki vita labda wewe na mkeo
 
1571296523279.jpeg
 
Imani kwa mahakama inakuwa ndogo serikali ikishinda kesi lakini serikali ikishindwa imani kwa mahakama inaongezeka!!! Mna matatizo ya "Unconscious Bias" ndiyo maana maamuzi yenu yanawaharibia malengo yenu.
 
Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.

Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.

HUKUMU:


Pia soma




Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:

2016

Julai 2018:

NEC wenyewe walishaona haya:

2016

2014
KESI ZA MAANA HAMSHINDI ZA HOVYO HOVYO MNAJIFANYA MNAJUA SHERIA ONA SASA STANDARD CHARTERED WANAVYOENDA KUTUNYOA
 
Huu ushindi uko pamoja na ule wa standard charterd ya Hong kong? Big up sana serkali.
Wasituchezee, kila kitu kupinga tu huku wanatuibia, bora tumewashinda na li usuluhishi lenu
Serkali yaidaiwi
 
Ina maana Singa Singa akila kiapo cha kukana makosa yake atashinda kesi pia! Jee baada ya uchaguzi watakula kiapo tena kurejesha uwanachama wao au kiapo kinabakia vile vile. Kiapo hakibadilishi uhalisia. Mimi nikila kiapo kuwa ni Mmarekani jee mahakama itakubali kuwa mimi ni Mmarekani?

Hapa ni patamu sana tena sana. Hicho kiapo kina limitation! Kwa sababu sijawahi kumuona au kusikia DED anatenguwa kiapo na kurejea kuwa mwanachama tena!

Na kama hawa wasimamizi wa uchaguzi watakuja kugombea nafasi kwenye chama siku za mbele, jee wanaweza kupingwa on the basis kwamba waliukana uwanachama wao na hawaku reverse kiapo baada ya uchaguzi!
Siku Jaji Augustino Ramadhani alipotangaza kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi niliamini mhimili wa Mahakama umejaa wanachama wa chama cha mapinduzi.

Siku Ngehemela Lubinga alipoteuliwa kuwa kiongozi wa CCM wiki chache baada ya kustaafu Jeshini nilianza kupunguza imani juu ya uhuru wa Jeshi letu.

Safari ya mabadiliko katika taifa hili bado ni ndefu sana na maumivu makubwa bado hayajafika nafikiri kizazi alichokiacha Nyerere na cha mzee Mwinyi vikiisha vyote kwa umauti ndiyo watanzania wazalendo wakweli watapatikana.
 
Back
Top Bottom