Serikali yaruhusu darasa la saba kujiunga na chuo Kikuu wakitaka

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Serikali kupitia tume ya vyuo vikuu (TCU) imetoa ruksa kwa waliomaliza darasa la saba shule za msingi na kukidhi vigezo kujiunga na vyuo vikuu Tanzania mwaka wa 2016/17 baada ya kufanya mtihani maalum.Mitihani hiyo itaanza tarehe 12 April 2016 katika vituo mbali mbali.

Taarifa zaidi download attachment
 

Attachments

  • RPL application 2016.pdf
    516.2 KB · Views: 354
Hata wasijisumbue watapoteza muda wao bure...

Wataliwa kichwa kabla hata ya kukaa darasani na hii lugha inayotumika vyuoni tena.

Labda watengenezewe mtaala wao wenyewe.

Maoni yangu tuo_O
 
Serikali kupitia tume ya vyuo vikuu (TCU) imetoa ruksa kwa waliomaliza darasa la saba shule za msingi na kukidhi vigezo kujiunga na vyuo vikuu Tanzania mwaka wa 2016/17 baada ya kufanya mtihani maalum.Mitihani hiyo itaanza tarehe 12 April katika vituo mbali mbali.

Taarifa zaidi download attachment

mpango maaluum wa kuwapa watu kama kina maji marefu fursa ya kuingia chuo kikuuu

huo mtihani utaandaliwa na nani maana isije kuwa chanzo cha baadhi ya vyuo vikuu kufaulisha watu ili kujaza nafasi ...
 
Back
Top Bottom