Serikali yakanusha Dkt. Kigoda kufariki dunia

Serikali yakanusha Dkt. Kigoda kufariki dunia

Status
Not open for further replies.
Jamani hizi habari zinazozagaa mitaani kuhusu kamanda wetu Mwamunyange zinatutisha wengine...wahusika tuleteeni hata picha basi ya huko aliko Italy.....
 
Nashangaa waliweka kile kisheria chao cha mtandao bila ya kuwa na watu watakaoweza trace source ya habari, kazi vitisho wangejua watanzania hawatishiwi kihivyo hata wasingethubutu...
Sheria ya mtandao ni butu

Ukinunua simu mpya, line mpya unaweza fanya usajili feki, ukaja JF ukatengeneza story mbili tatu, ukimaliza unatupa kule, iP za mitandoa ni dynamic,
 
Ukinunua simu mpya, line mpya unaweza fanya usajili feki, ukaja JF ukatengeneza story mbili tatu, ukimaliza unatupa kule, iP za mitandoa ni dynamic,

Bado Tanzania hawana tech ya kumkamata mtu mjanja, kama Wachina na US wenyewe wanashindwa kamata watu huko na wao ndio wana tech kubwa hapa Tz hawawezi na ni Butu kabisa
 
Bado Tanzania hawana tech ya kumkamata mtu mjanja, kama Wachina na US wenyewe wanashindwa kamata watu huko na wao ndio wana tech kubwa hapa Tz hawawezi na ni Butu kabisa
Kwi kwi kwi
 
...waache kuwaombea wenzao mabaya...ona sasa..huyu nae kumbe anaumwa!!...
 
Lakini TBC wame confirm kifo icho
 
Nasikia tibisii wamethibitisha...! Nikweli? Mlio karibu na Runinga?
 
Kama hutaki mabadiliko baki hapohao Amani hosipitali au Muhimbili! hakuna dawa za tumbo Amana.
 
Hiyo taarifa ya MAGAZETI ni ya jana ama leo? Natumia simu nashindwa kufuatilia
 
Last edited by a moderator:
Aisee alazwe pahala pema peponi kama ni kweli.poleni ndugu na jamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom