mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Hizi taarifa ni mbaya sana kwa Mgufuli, huenda analia muda huu.
Jamani tuache kuzusha kifo kwa mwananchama wa CCM, kwani tunampandisha presha mzee wa Push up.
Sasa inakuwa je mbona kura za Magufuli zinaporomoka siku hadi siku.
Lakini tukumbuke kuwa kuna msemo wa Kiluguru usemao "Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja".
Mungu amjalie Afya njema ili aje kumpigia Kura Magufuli. Ataliaje Kisukuma akikosa kuingia IKULU Magufuli
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!