Mimi sio mdau wa Lumumba,kutaka Magufuli awe Raisi hakunifanyi kuwa mdau wa Lumumba,mimi sina chama jamani
Hujitambui kuunga mkono magamba
Mimi sio mdau wa Lumumba,kutaka Magufuli awe Raisi hakunifanyi kuwa mdau wa Lumumba,mimi sina chama jamani
Duh akidedi kutakua na kitu si bure.....
Kweli Mkuu? Maana wengine tunaogopa kusambaza baada ya onyo la hapo juuTBC wametangaza Kigoda is no more
Mimi sio mdau wa Lumumba,kutaka Magufuli awe Raisi hakunifanyi kuwa mdau wa Lumumba,mimi sina chama jamani
Ndiyo, very sad. Alikuwa jamaa powa sana. Niliwahi kupiga nae kinywaji ze city tanga.Nasikia tibisii wamethibitisha...! Nikweli? Mlio karibu na Runinga?
Ndiyo, very sad. Alikuwa jamaa powa sana. Niliwahi kupiga nae kinywaji ze city tanga.
TBC wametangaza Kigoda is no more
Hivi kwanini watu wanapenda kuombeana mabaya siku hizi?
Acha hizo lolowapi, vinywaji vipo teele na vya aina tofauti tofauti. Siyo maji ya mende.Kadhi mkuu na kinywaji?duh