Serikali yakanusha Dkt. Kigoda kufariki dunia

Serikali yakanusha Dkt. Kigoda kufariki dunia

Status
Not open for further replies.
Kwa namna jambo hili linavoibuliwa ni wazi kuna mtu anatamani sana msiba huu utokee, swali ni kwa nini?
 
Hivi ni nani anayezusha Ujinga huu jamani kila mtu atakufa ila tusizushiane vifo kiasi hiki....
Tubadilike na tufanye maamuzi sahihi ya kumchagua Dkt John P Magufuli ✔✔✔ #HapaKaziTu

Povu linakutoka tuu, kuna uhusiano gani na ulichoandika??
 
Hivi ni nani anayezusha Ujinga huu jamani kila mtu atakufa ila tusizushiane vifo kiasi hiki....
Tubadilike na tufanye maamuzi sahihi ya kumchagua Dkt John P Magufuli ✔✔✔ #HapaKaziTu

Ulianza vizuri lakini hapo mwisho umeboronga
 
Haya mambo ya kukanusha vitu juu kwa juu sio kitu kizuri kabisa,tulitegemea ndugu wa muhusika kuongea na waandishi wa habari maana huyu ni mgombea ubunge na waziri vile vile,the same to mkuu wetu wa majeshi,
 
mabingwa wa kukanusha...halafu mwisho wa siku wanaumbuka
Pamoja na kutaka kuweka precedence ya crisis management, hii ni aibu kubwa kwa yeyote anayehusika serikalini.
Sasa hivi dunia ni kijiji, huwezi kuzuia habari kwa sekunde moja duniani popote pale.
Toka wiki iliyopita hii habari ilijulikana mitaani.
Huyu waziri kuna nduguze, marafiki na watu waliosoma naye, walipata habari zaidi ya wiki kuwa kwa hali yake, Kigoda is no more.
Lakini Rip Waziri wetu.
Hili liwe somo kwa serikali juu ya sensitive information management.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom