BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,317
Huoni kwanini elimu haichukuliwi kwa uzito mkubwa ni sababu watu wakielimika huwezi msumbua unless aamue tu yeye kujitoa ufahamu, ndio mana illiteracy rate ndio kundi kubwa la wanaokua manipulated haswa na hizi fafanuziAiseee siasa bana ni ushenzi ushenzi fulani.