Serikali yakana hukumu ya kuilipa ESCROW dola Mil 185. Dk. Abbasi asema Serikali haidaiwi

pole bi faiza si ndo mnapenda hayamambo... mnasema kazi iendelee etiee 😂 😂
Ndugu yangu kazi iendelee haimaanishi kwa utawala (administration) style ileile. Au hujaona mabadiliko na kazi inaendelea?
 
Ndugu yangu kazi iendelee haimaanishi kwa utawala (administration) style ileile. Au hujaona mabadiliko na kazi inaendelea?
 
Inaaonesha hujamsikiliza Rais Samia wakati wa kupokea ripoti ya CAG.

Pia elewa kuwa Rais Samia ana taasisi na vitengo, kuna bunge, kuna Takukuru. Zote hizo zina majukumu yake.

Pia hujaelewa bado kuwa Rais Samia style yake si maneno na kuwapiga watu porojo kama alivyokuwa bwana yule. Rais Samia kishajionesha wazi, yeye ni wa vitendo sio wa porojo.
 
royotuwa ndio nimeiona 😂 😂 😂
Naam. Royal Tour mngeielewa maana na faida yake msingeibeza. Lakini tunawahamu, wengi wenu mnaombeza Rais Samia mna chuki zenu za kibaguzi tu, au wakidini au wakikanda. Hakuna zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom