Bima ya afya kwa sasa ina cover mambo mengi sana,na pia huduma za hospitali binafsi no nzuri zaidi
Kuwa na bima na kukosekana kwa dawa ni vitu viwili tofauti sana. What are you talking about?
Bima ya afya kwa sasa ina cover mambo mengi sana,na pia huduma za hospitali binafsi no nzuri zaidi
Hivi wewe unatumia ubongo au akili? Una umri gani wewe? Kama unaambiwa dawa hazipatikani nchini hao private sekta wao watazipata wapi? Unajua gharama za matibabu kwenye hospitali za private ukilinganisha na za serikali? Ni masikini gani anayemudu gharama hizo?Weka ushahidi basi manake ninavyofahamu mm siku hizi hakuna matibabu ya bure,ispokua kwa makundi maalum,(wazee wa umri fulani na watoto wa Chini ya Miaka 5) wengine waliobakia wanapata matibabu kwa kuchangia gharama za matibabu kwa mantiki hiyo ukiacha makundi niliyotaja na wale wa chanjo,mtu mwingine anaweza kwenda kutibiwa hospitali tofauti na za Serikali kwa kutumia kulipa cash au bima ya Afya.Hivi sasa bima ya inapatikana kwa waajiriwa na waliojiajiri kwa hiyo ni wakati mwafaka sasa kila mtanzania kujitahidi kuhakikisha anajiunga na bima ya afya ili awe na Uhuru wa kutibiwa sehemu tofauti na hospitali za umma iwapo kutakua na changamoto za uhaba wa dawa.
Kupanga ni kuchagua uhaba unaosemekana unatiliwa chumvi tu hali si mbaya kiasi hicho na hilo swala linashughulikiwa kwa karibu,hata kama huna mpango wa kupanda hizo ndege zilizonunuliwa kuna watu wengi tu zitawahudumia kwa hakuna sababu ya msingi ya kujali kuzibeza tu km vile hatuna kitu kingine cha kufanya.Kuna baadhi ya watu wana chuki na Serikali na kazi yao wao ni kuikandia tu kwa kile inachokifanya kwa nia njema.
Ukiwa na bima ya afya hizo dawa zinazokosekana nchini zitajiumba?Jiunge na bima ya afya hata kama umelipa Kodi zote haimanishi kua utatibiwa bure.
Waache Viongozi wafanye kazi ukiweza kua Rais siku moja utuonyeshe huo ubingwa wako wa kua kiongozi bora.Stop talking Sh***t. Hakuna kitu kinachotiwa chumvi hapo juu. Tumeambiwa yote mawili. Mmoja amesema hakuna upungufu wa dawa, na mwingine akasema upungufu uliopo ni wa muda mfupi. We can stop being goofy and tell the truth.
Waache Viongozi wafanye kazi ukiweza kua Rais siku moja utuonyeshe huo ubingwa wako wa kua kiongozi bora.
Mkuu unajisumbua kulielimisha hilo gamba...halijielewi na halijitambui hata kidogo.Utatetea hadi pumba mwaka huu !
Wewe ni CHIZY ndio maana unashabika VIFO vya watanzania wenzako. Huna chembe ya aibu mwanaizaya mkubwa!Umenitukana tayari,umepata shs ngapi? Kama kweli wewe mgonjwa hiyo akili ya kutukana huku JF unaipata wapi?Ebu taka hiyo hospital uliyolazwa na ueleze kwa ufasaha tatizo lako manake matusi hayatusaidii hapa.
Mkuu nimegundua hilo jamaa ni CHIZY la Lumumba. Lipuuze, usijibizane nalo.Stop talking Sh***t. Hakuna kitu kinachotiwa chumvi hapo juu. Tumeambiwa yote mawili. Mmoja amesema hakuna upungufu wa dawa, na mwingine akasema upungufu uliopo ni wa muda mfupi. We can stop being goofy and tell the truth.
You are a snitch na mtu mwenye tabia za kike. Kamalize mwenyewe huko kama tu unamhusu si ataenda?Ile U-TURN iliyopigwa inahitaji maelezo kidogo, si kwa unafiki ule. Nimemuita akafanye clearance ya ule uchafu kule at least he/she has to admit
Acha matusi kwakua hakuna unachoweza kubadilisha kwa kutukana,jazba hazitakusaidia kwa lolote,ni wagonjwa wangapi waliokufa kwa kukosa dawa hadi ufikie hatua ya kutokwa na povu jingi hivyo?Unahitaji kuelimishwa sana. Naona hujui hata haki zako mwenyewe. Yaani tuwachague viongozi kisha tuwaache wafanye wanavyotaka? you sound like a moron...
Utafiti uliofanya na wizara ya Afya unaonyesha watanzania wengi ni vichaa wewe unaweza kuwa mmojawapo.Umenitukana tayari,umepata shs ngapi? Kama kweli wewe mgonjwa hiyo akili ya kutukana huku JF unaipata wapi?Ebu taka hiyo hospital uliyolazwa na ueleze kwa ufasaha tatizo lako manake matusi hayatusaidii hapa.
Wewe na ukoo wako ni ndiyo machizy manake hata hujui unachokiongea.Weka idadi ya wagonjwa waliokufa kwa kukosa dawa hapa.Wewe ni CHIZY ndio maana unashabika VIFO vya watanzania wenzako. Huna chembe ya aibu mwanaizaya mkubwa!
Udikteta uchwara wa Mabutu sesesoko ndio umetufikisha hapa drcWeka akiba ya maneno
Hata wewe ni kichaa tena una kichaa cha nyoka.Utafiti uliofanya na wizara ya Afya unaonyesha watanzania wengi ni vichaa wewe unaweza kuwa mmojawapo.
Mbona unapaniki?Hata wewe ni kichaa tena una kichaa cha nyoka.
Nikisema wewe ni kichaa unapaniki nini?Wewe na ukoo wako ni ndiyo machizy manake hata hujui unachokiongea.Weka idadi ya wagonjwa waliokufa kwa kukosa dawa hapa.
Jana mm nimeenda kuchoma sindano ya tetenus (kinga) nikaambiwa niifuate mkoani daaahh ni hatari sijui huyu shetani anatupeka wapi?Wewe QUMER usinitafutia ban ya lazima. Sasa hv nimelazwa hospitali moja ya serikali na hapa hakuna hata kidonge kimoja cha panadol...dawa zote tunaenda kununua na huko ndani ya famasi dawa nyingi muhimu hazipatikani. Acha siasa kwenye maisha ya watu wewe maiti. Usinitafutie ban nakuambia.
Mkuu kila mahali hakuna nashangaa kuna vichaa wanashabikia huu ujingaJana mm nimeenda kuchoma sindano ya tetenus (kinga) nikaambiwa niifuate mkoani daaahh ni hatari sijui huyu shetani anatupeka wapi?