MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo mwenyekiti wenu aliposema njaa hakuna alikuwa anaropoka ?Wakigawa mnalalamika wakikaa kimya mnalalamika mlitaka watu wafe ndo mje kuilaumu selikari kuwa tulisema kuwa njaa ipo