Serikali yaanza kufanya tathmini ya kila kaya kubaini familia zenye njaa na kugawa chakula

Hivi kejeli zilipokuwa zikitamkwa zilikuwa zinamaanisha nini? Wamesema hakuna njaa sasa wanaenda kufanya nini huko? Au ndiyo kupima kina cha maji kilipofikia?

Viongozi waache kucheza na akili za watu
Muambiwe mara ngapi kuwa huwa anatania?
 
Nimesikia kwenye magazeti ya leo kuwa serikali imeanza kufanya tathimini ya familia zenye njaa na kuanza kugawa chakula nchi nzima .

Chanzo.magazeti ya leo
Serikali wanachodai wanakigawa sasa hivi wamekitoa wapi? Wameagiza Burundi?
Serikali ilishasema hakuna njaa, hiyo maana yake chakula kipo nchini. Hata kiswahili chepesi tu hamuelewi? ama kweli Lowasa kaleta mabadiliko.
 
Umeona lilipo tatizo lako? Lipo kwenye unafiki, huo unaoufanya ndugu yangu either ni unafiki au unajifanya chizi.

Ilisemwa njaa hakuna na chakula cha msaada hakitatolewa serikali haina shamba.

Juzi kimesemwa kitasambazwa, baada ya upinzani kusema watasambaza.

Umejawa na unafiki unakunja maneno kiasi hiki? Eti "Njaa hakuna chakula kipo nchini" haya kamuonesheni Zito hizo tani milioni 1.5 basi.

Unafiki unaangamiza taifa.
 
Wanasambaza wapi mkuu? Humu JF kuna watu wanadai wana njaa mkuu wasaidie kuwaelekeza.
 
Soma vizuri nilichoandika.
Nimesema wa-ta-sambaza na siyo wa-na-sambaza.

Mleta uzi kasema sasa hivi wanatathmini kaya zenye mahitaji.

Huu unaozidi kuubishia ni ama unafiki au unajifanya chizi.

Unafiki unaangamiza taifa.
 
Hakika huu siyo UWONGO. Ushahidi ni kwamba ingawa mapema mwaka jana tuliambiwa kuwa katika awamu hii ya uongozi wa nchi yetu hakutakuwa na chakula cha njaa mahali popote, wanaoifahamu historia ya nchi hii tangu awamu ya kwanaza halijua kuwa hiyo ni kauli tu; haitekelezeki. Mara vyombo vya habari vikaibua njaa Kagera. Ingawa tetesi zikuwapo kwamba mwandishi husika alipata msukosuko lakini tuliona kwenye tv zetu Kitengo cha Maafa kikikabidhi chakula huko Muleba. So, let us not take very seriously some of these impromptu and reckless statements made by some of our leaders who appear to be accountable to nobody except to themselves. God bless Tanzania and its humble citizens.
 
Asante sana sana Baba Lowasa, kama sio ile kauli yako kuwa mtaomba msaada hata nje ya nchi ili wananchi wasife njaa ndio IMEWAZINDUA HAWA JAMAA WA UKOO WA KINYUME NA MUNGU! Mungu akuongoze kuwapigania waTz. mkuu.Tunajua wewe umejaa hekima, busara na maarifa.
 
Soma vizuri nilichoandika.
Nimesema wa-ta-sambaza na siyo wa-na-sambaza.

Mleta uzi kasema sasa hivi wanatathmini kaya zenye mahitaji.

Huu unaozidi kuubishia ni ama unafiki au unajifanya chizi.

Unafiki unaangamiza taifa.

Kumbe watasambaza? kwa hiyo wenye njaa sasa mnaishije? duh! hii serikali. Bora Lowasa asambaze tu hicho chakula chake.
 
Wamshukuru nywele nyeupe alposema cdm watatoa ndo naona mkulu kachange gia hewan
 
Kumbe watasambaza? kwa hiyo wenye njaa sasa mnaishije? duh! hii serikali. Bora Lowasa asambaze tu hicho chakula chake.
Waulize NFRA na PM walipojigamba hawatosambaza chakula.

Hata hivyo nimeshajua wewe siyo mnafiki.

Uchizi unaangamiza taifa.
 
Hakika huu siyo UWONGO. Ushahidi ni kwamba ingawa mapema mwaka jana tuliambiwa kuwa katika awamu hii ya uongozi wa nchi yetu hakutakuwa na chakula cha njaa mahali popote, wanaoifahamu historia ya nchi hii tangu awamu ya kwanaza halijua kuwa hiyo ni kauli tu; haitekelezeki. Mara vyombo vya habari vikaibua njaa Kagera. Ingawa tetesi zikuwapo kwamba mwandishi husika alipata msukosuko lakini tuliona kwenye tv zetu Kitengo cha Maafa kikikabidhi chakula huko Muleba. So, let us not take very seriously some of these impromptu and reckless statements made by some of our leaders who appear to be accountable to nobody except to themselves. God bless Tanzania and its humble citizens.
Usimseme rais wetu vibaya. ...hii ni kwa ajili ya baraka zako na familia yako. ..mbona tulipata shida zamani ile tukala chakula cha farasi kutoka USA. ..I still remember my parents na watu wengine tukawa humble sana. ..baadae akaja mzee ruksa. ..halleluyah. .sasa kipindi hiki ni kipindi cha kutafakari na kutafuta mbinu mpya za kufanya biashara. ..NYOTA HUONEKANA GIZANI. ..kaa na amani ndugu yangu. ..
 
Inachekesha wakati mheshimiwa aliapa na sio Mara moja zaidi ya marambili kua hatatoa chakula kabisa kwa yeyote atakayekumbwa na baa LA njaa. hii kali
Mkuu wetu ana bifu kali sana na Mungu kwa sababu ya visa , visasi na kujiapiza hovyo na kuvivunja hivyo viapo. Kwa ajili hiyo anaogopa kujisogeza mbele Mungu hivyo anabaki kuomba kuwa 'aombewe'.
 
Back
Top Bottom