Serikali yaanza kufanya tathmini ya kila kaya kubaini familia zenye njaa na kugawa chakula

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Nimesikia kwenye magazeti ya leo kuwa serikali imeanza kufanya tathimini ya familia zenye njaa na kuanza kugawa chakula nchi nzima .

Chanzo.magazeti ya leo
 
Inachekesha wakati mheshimiwa aliapa na sio Mara moja zaidi ya marambili kua hatatoa chakula kabisa kwa yeyote atakayekumbwa na baa LA njaa. hii kali
 
Hivi kejeli zilipokuwa zikitamkwa zilikuwa zinamaanisha nini? Wamesema hakuna njaa sasa wanaenda kufanya nini huko? Au ndiyo kupima kina cha maji kilipofikia?

Viongozi waache kucheza na akili za watu
 
Viva lowasa. Kuwatishia tu kugawa chakula akili ndyo zimewakaa sawa. Ungewatishia hata kwenye sukari
 
Nimesikia kwenye magazeti ya leo kuwa serikali imeanza kufanya tathimini ya familia zenye njaa na kuanza kugawa chakula nchi nzima .

Chanzo.magazeti ya leo
Siri-kali imenunua shamba?

Mkulu "alitania" kwa kusema serikali haitatoa chakula cha msaada(chakula cha bure).

Link Serikali haitagawa chakula cha msaada - Magufuli | East Africa Television

Kwa nini siri-kali imeamua sasa kubeba misalaba ya wananchi walioshindwa kujitetemesha, wapiga dili, wa-hapana kazi tu kujipatia chakula?

Au wanataka kuzuia mswada binafsi (Zitto) wa kura ya kutokuwa na imani ya mtumbua majipu.

Njaa imepinda nayo inyooshwe.

Link Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

Link tishio la njaa, vyakula vyapanda

Link BAA LA NJAA NCHINI: Wananchi Kwimba wamsimamishwa Mkuu wa Mkoa wakiwa na mabua yaliyokauka

 
Acha uchochezi dogo nchi hii haina njaa,na raisi weti ni msema kweli na mcha mungu alishasema hakuna chakula cha bure ,serikali haina shamba ,utakuwa umetumwa na UKAWA
 
Back
Top Bottom