Serikali yaanza kufanya tathmini ya kila kaya kubaini familia zenye njaa na kugawa chakula

Kuna siku Taifa litampata kiongozi wa wake na watanzania watafurai kumpata kiongozi wao
 
Wakigawa mnalalamika wakikaa kimya mnalalamika mlitaka watu wafe ndo mje kuilaumu selikari kuwa tulisema kuwa njaa ipo
Watu wanacholalamikia ni haya matamko ya hovyo hovyo kwamba nchi haina njaa halafu watu wamejiapiza hakuna chakula cha msaada, sasa hilo shamba serikali imelitoa wapi? Hii ni aibu kuongoza nchi kama umekatwa kichwa!
 
Usikute mhindi yaliyoachwa na jk yameuzwa ili kujenga airport binafsi pale chato... . Ndo maana ccm wote ni km Faru john
 
Hii Serikali ni Serikali ya ajabu sana. Inakataa hadharani kwamba hakuna njaa halafu inafanya tathmini ya kaya zenye upungufu wa chakula! Yote haya yanasababishwa na tabia ya kulipuka/kukurupuka na kuropoka bila tafakari ya kina.

Kwani si serikali inasema Tanzania hakuna njaa!!! Hakika nchi hii inaongozwa vibaya
 
Nimesikia ruzuku za wachimba madini wadogo wadogo pesa zilizotolewa na bank ya Dunia zimezuiliwa na waziri mkuu hadi uhakiki mpya kasheshe jipya pesa za watu na kuna wengine wanadai wamefurahi uamuzi wa Waziri mkuu nilicheka hadi basi
 
Back
Top Bottom