Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Wangefaulu kudhibiti technologia wangetudanganya wengi,Nyerere aliweza zama Giza.
 
Duuuuuu, kama ni kweli mleta mada unastahili pongezi.
 
Ebu tizama kipengele namba tatu cha mtoa uzi alafu uje na hizo assumption zako.
Eeh ni sawa lakini makosa yako tu. Af pia ni vizuri kuwaza au kufikiria katika positive side, sio in negative way.
 
Eeh ni sawa lakini makosa yako tu. Af pia ni vizuri kuwaza au kufikiria katika positive side, sio in negative way

Mkuu kwa hyo unataka kwenye tufikirie kuwa wamefanya sawa tu, au positive way ipi unazungumzia.??
 
Majina machache ndo yamejirudia, almost watu watatu hivi, lakini kwa mtazamo wangu ni makosa ya kawaida hayo
 
Inabidi watu wahusika waliangalie hii majina mawili mawili yamechukua idadi ya walimu wengine kuna harufu ya kuwekana kwenye ajira, kwa kigezo cha makosa ya kibinadamu
 
Hongera ,,sana mleta Uzi,,,ingekuwa Nchi zingine ,,, ungeitwa ikuru ,,,,,ukapewa cheti,,,,,kwa kazi hii uliyofanya....kwa ni Bongo ,,,,mmmmm,,,,watu km nyie hamutakiwi.
 
Nadhani ni mpango maalum , maana kula wakurugenzi kule Kagera wametoa zawadi hewa kwa wafanyakazi
 
Hongera ,,sana mleta Uzi,,,ingekuwa Nchi zingine ,,, ungeitwa ikuru ,,,,,ukapewa cheti,,,,,kwa kazi hii uliyofanya....kwa ni Bongo ,,,,mmmmm,,,,watu km nyie hamutakiwi.
Hiiiiii Umenikumbusha ile issue ya EXPANSION JOINT pale UDSM
 
Serikali inayoongozwa na malaika mkuu inafanya madudu ya ajabu namna hii ,wakati alisema amewamaliza wapiga dili .
Mpiga dili mkuu atawezaje kuwamaliza wapiga dili wenzakea,ni porojo tu.The earliest chinese philosopher once said "If a leader is not virtue even though you give order will not be accepted
Uongoz ni kuwa mfano ukiona wiz umetamalak uje top executive ni wezi
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO'. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215


The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
Tumieni akili mnapo post vitu
Kwani hao wameshajiriwa??
Mfumo wa saivi huwezi ajiri watu wawili kwa wakati mmoja! Mashine itatema tu
 
Back
Top Bottom