Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Hapo hakuna atakaeingiabkwenye ajira na majina mawili mawili kwanmfumo wa sasa wa usajili maana hawa bado hawajathibitishwa kwenye Halmashauri sasa vyeti vikionekana sehemu mbili lazima atoke mtu. Kwa mfumo wa sasa ni kazi sana kuiba na hata akiiba aliyeingiza jina hata chukua muda mrefu mfumo automatic utamtema. Labda kama wameweka majina ili kujaza idadi ionekane kubwa sawa na watu wenyewe waliojirudia hawazidi watano (5) ko nahisi kutakuwa na makosa ya kiuandishi na uandaa data za hao wahitajika. Ila mwisho wa siku hakuna atakayelamba pesa marambili hafiki mbali atadakwa tuu, huu mfumo mpya aliouleta JPM wa kusaka watumishi hewa umeondoka sana na watu ko kuukwepa ni kazi sana labda iwe inside job ambayo ninauhakika hiyo hela mtagawana watu wengi ili kuficha uchafu na haitakuwa haitoshi kugawana mishahara yenyewe haifiki hata 1M kwa wanaoanza.
Mkuu kwani hayo majina yanaingizwa manually?
 
Tumieni akili mnapo post vitu
Kwani hao wameshajiriwa??
Mfumo wa saivi huwezi ajiri watu wawili kwa wakati mmoja! Mashine itatema tu
Ni mashine gani ambayo imekubali kusoma na kuprint majina mawili mawili?Kama ni walikua wanaingiza manually huoni hata huko wanaweza ingiza manually?
 
Una uhakika na ukisemacho, cheki vizuri! Ni zaidi ya hayo uyasemayo. Unadhani hizo nafasi hazijaziba riziki za watu?
Hata tukisema ni jina moja limejirudia, hii si ni nafasi halali ya mtu kuajiriwa?Kwanza ni system gani hiyo walikua wanatumia had inafanya duplication hivi?Kuna watu wamejaza masomo ambayo hawajasomea, hii nayo ni BAHATI mbaya?

Mkuu ongera kwa kazi nzuri.
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO'. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
Salute
 
Bob umetisha sana, kuna kitu adimu unacho jaribu kukitumia

Scolastica Female na Male halafu wote wana Surname sawa awamu ya 5 imejaa wasanii tupu ikiongozwa na ankali na movie yake ya mtoto kulawitiwa mbeya.
 
Mkuu kama kauli yako ungekuwa valid basi Mahakama zingekuwepo kwa ajili gani.????
Error huwa zinakuwa mbili au tatu coz kabla hawajaweka hewani kunakuwa na uhakiki kwanza wa data.
Hii ishu ya majina ukisoma kwa makiiiini unaweza kuwa majina hata 200 yamejirudia na wamepangiwa vituo tofauti, mengine wanarudia ya ajira zilizokwisha tolewa.
Dah haya bhana. Huo ni mtazamo wangu. But kila mtu ana perception yake. Ndio maana inakuwa ngumu kuamini kile mwingine anaamini.
 
Serikali ya idadi haijali uhalisia wa idadi yenyewe.
Wewe huoni hata kujitambulisha unajitambulisha kuwa ni serikali ya awamu ya tano badala ya srrikali ya jamhuri
 
Daaah.... Watu wenye sifa stahiki wameachwa zaidi ya themanini elfu, while walimu hewa kibao wameajiriwa. This is Bongo land
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO' na ni MALE lakini katika ajira ameandikwa FEMALE. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215

Kweli kuna watu mmeumbwa kufuatiliya, tabu yote hii ya nini? Mda mchache.shughuli nyingi jaman, tutafute pesa kwa bidii watoto wakue,wasome na tumfukuze adui ujinga....

Ni hewa, ni liquid haya yote hayatuhusu kwa kali

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO' na ni MALE lakini katika ajira ameandikwa FEMALE. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!

Uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa sana, ni nini kolikuingia mpaka ukachunguza yote haya? With that brain you can be anything....
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO' na ni MALE lakini katika ajira ameandikwa FEMALE. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
CC; utaifakwanza Pascal Mayalla Wakudadavuwa
 
Kwasababu umewashitua, nadhani kama ilikuwa "human error" watarekebisha. Kama ilikusudiwa ndo ujue hapo Mze Magu kazi anayo kubwa ya kupambana.
 
Back
Top Bottom